Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,386
Naona labda anaanza tu mwanzoni kuashiria kwamba anajua kipika...Yani umezidi balaaa ..kuna mwiko pembeni hapo mtu amemsaidia [emoji23]
Ooh wanajua kweli kushona nguo ..
Wapo vizuri
[emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa hivyoNaona labda anaanza tu mwanzoni kuashiria kwamba anajua kipika...
Halafu wanapokea.
Ila kama ndio anasonga hadi mwisho wallah wazambia watakuwa wauaji[emoji3]
Naona Leo umeweukwa balaa[emoji41]oyaaa....[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]YANGA BINGWAView attachment 2232894
AY wetu wa Mbeyaoyaaa....[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]YANGA BINGWAView attachment 2232894
NahisiItakuwa hivyo
Mambo mengine kwa ajili ya picha tu
Nahisi
Ila wanajua kushona nguo hawa watu[emoji119]
Kuna ndugu yetu aliolewa huko...
Miaka ya nyuma tu alikuwa akija kusalimia analeta vitenge na nguo zimeshonwa hatari.
Naitoa wapi coca[emoji3]Nunua aifoni mama abiud lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda mpendwa ,kkkt ! Acha niendelee kusaidiana hakuna namnaIla kukusanyika mahala pamoja ni vyema hata biblia imesisitiza, kuna umuhimu wa cooperate anointing ambayo huwezi ipata popote isipokuwa kwenye gathering ya wana wa Mungu. Ila sio formula kwamba ni lazima.. ila ni vyema unapo enda unaweza wasaidia wengine au wewe pia kupata kitu
HahaaaHii
Ni usiku huu[emoji848]
HahaaaWikiend hii Nina mialiko miwili afu Sina hela nikuzima simu tu
Nachat na kale katoto kamiss kangu[emoji23]
Namwambia mdogo wangu ungeenda ungeshinda...analalamika kuwa kuna upendeleo.
Wadau muwasaidie hawa watoto kupaza sautiView attachment 2232960
Unapenda mbwa wa moto eeh....
hili la AY limetoka wapi?? mmekubaliana lini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kalumbu kalumbuAY wetu wa Mbeya
hahahhaha siwakagi sio...
Unataka kuwa miss alafu hutaki kupelekewa moto🤣🤣🤣🤣Kwaiyo miss kashinda kwa mchongo