Sema mashindano ndivyo yanavyokuwa, unaeza kutwa wengi wana vigezo lakin shida nafasi ni moja tu.Ooh ni mfupi ndo shida
Hawa washindi wa pili huwa wanatapeliwa nafasi zao .
Happiness nilimpenda kwa kweli ni mrembo fulani hivi .. sema aliingia 13 bora
Khaa jaman cio vizur [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana husalimiagi watu wewe
Hiyo wanaweza, hata kile kipindi Bulldozer gone, wabongo walijaa hapo page ya BBC [emoji1787]… me nimewa compete kwa tiktok… wakenya tiktok wanatania mpaka sio vizuri
Uliposema cabin crew nikamkumbuka dada mmoja tiktok alikuwa na komwe next level…comments za wakenya ni balaa.
[emoji2296][emoji23]Hapana [emoji1787][emoji1787] endeleeni kuringa, watu tunakula mselelelo huku
MmmmhBac nitumie pm mbona wafanya choyo asubuh asubuh
Ooh kweli asieeSema mashindano ndivyo yanavyokuwa, unaeza kutwa wengi wana vigezo lakin shida nafasi ni moja tu.
Hebu nilionee[emoji38][emoji38]Oyoo
Vikomwe vizuri kwa kweli ..
Nina komwe dogo la ushikaji haha
Mhh thawa [emoji26]Mmmmh
Nikiweka siku ingine hapa utaiona
Majaji wanakuwaga na matokeo mfukoniSema mashindano ndivyo yanavyokuwa, unaeza kutwa wengi wana vigezo lakin shida nafasi ni moja tu.
Hivi Emanurela Silayo hawakumwina kabisa?Ooh ni mfupi ndo shida
Hawa washindi wa pili huwa wanatapeliwa nafasi zao .
Happiness nilimpenda kwa kweli ni mrembo fulani hivi .. sema aliingia 13 bora
[emoji23][emoji23]kwanini wamakonde sijapenda[emoji23][emoji23][emoji23]Mshindi wa pili alistahili ushindi sema ni mfupi
Huyu halima mwili wa model umemongezea pointi kwa majudge .
Alijibu swali lakini si vizuri sana
Pia alikuwa anatabasamu mwanzo mwisho .
Wamakonde finally wametoa miss ..
Hii nchi wizi kila mahala.Majaji wanakuwaga na matokeo mfukoni
Tena wizi kwa mamiss ni mbaya...watoto wa watu wasipotoa ile kitu hawashindiHii nchi wizi kila mahala.
Nawe Makonde tukupongeze dada?[emoji23][emoji23]kwanini wamakonde sijapenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Kasura ka Halima kananikumbusha Happiness WatimanywaHalima ndo kashinda aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah sina picha ya karibuHebu nilionee[emoji38][emoji38]
Ndiyo binti Abiud