Selfika na JF: Snap it. Show it

Angel Alfred
Ni ud student halfu pis kali
Kapo confident kameongea English bila scratch na anatembea kwa madaha huyo
Pole zake ndio umesema ni mfupi, nimeangalia picha yake pale juu ni mzuri. Kuna dada nimemuona hapo anaitwa Happy Mroso huyu ndio hata 5 bora hayupo doh nimempenda muonekano wake.
 
Ila wabongo hawajui kutania kama wakenya

Wakenya unaweza lia
Hahaha kumbe
Sema sie huku bongo tunaongoza kwenda kuvamia page za watu mfano kwenye mpira account ya CAF akipost picha ina mchezaji wa Simba ah watu wanahamia hapo
na kucomment hapo weh.

Nakumbuka Kama Samatta alivyotoka Aston Villa aisee nilicheka kwenye comment section full kiswahill
Wanalalamika hao tu
 
Pole zake ndio umesema ni mfupi, nimeangalia picha yake pale juu ni mzuri. Kuna dada nimemuona hapo naitwa Happy Mroso huyu ndio hata 5 bora hayupo doh nimempenda muonekano wake.
Ooh ni mfupi ndo shida
Hawa washindi wa pili huwa wanatapeliwa nafasi zao .
Happiness nilimpenda kwa kweli ni mrembo fulani hivi .. sema aliingia 13 bora
 
Hiyo wanaweza, hata kile kipindi Bulldozer gone, wabongo walijaa hapo page ya BBC 🤣… me nimewa compete kwa tiktok… wakenya tiktok wanatania mpaka sio vizuri

Uliposema cabin crew nikamkumbuka dada mmoja tiktok alikuwa na komwe next level…comments za wakenya ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…