Jaguar nimeiachia mkuu..Hapo ni wewe tu na roho yako japo legal maximum speed ni 70 miles/h na state troopers wapo na unmarked cars kila kona lakini utaziona njemba zinakanyaga mpaka 120 miles.....
Ukimuweka mnyama Jaguar hapo sijui...
πππ ila alfajiri kanakujaga malizia usingizi kwangu kanadekaaa .. sanaaπππ hatari
Nenda kamwangalie FIB kama kalala vibaya umuweke vizuri asije amka anaumwa shingoπ
Uliniambis niaze mkuu!! Nakusubiria sasaOoh Asante
[emoji1545]
Kweli wewe una asili ya huko uarabuni
Hahaha wa wapi uyo mkuu.
Kulala wawili sipendi,Basi me kulala mwenyew naona tabu, nishazoea kampan ndio nalala vzuri kwa amani
Na wewe mood zako jinsi hazitabirikagiiiπππ Siku ingine ndio ivyo mood ikiwa mbayaa anajutraaaa
Japo kiduchu inatosha kwa afya
Diet muhimu sanaa π π π napenda sana baridi sijui kwasababu nakaa mahala penye baridi kali sana mda mwingiMe baridi naiogopa na hua ikiwa kali mwili unawasha navimba kama vile nimetembelewa na mdudu.
Saivi najitahidi kuepuka kusafiri mikoa ya baridi maana mziki wake nauelewa ni mateso unalala na nguo mia miaπ
Okay thanksJapo kiduchu inatosha kwa afya
Ohooo; Mimi Niko simbo Tabora vijijini huku
ππ Lazima aende kijeshi jeshi.. kuna raha ya kuzinguana bwana.. hapo mnakuwa washkaji sanaa sio mnakuwa serious kama walinzi wa makilikili kule kwa mawaziri πππ majamaaa hayachekagiii makauzu kishenziNa wewe mood zako jinsi hazitabirikagiii
Unamzingua sana baby FIB, sio poa
Haaa sasa si unampa tabu sana FIB kulala mwenyew kila siku jamanKulala wawili sipendi, mala nyingi naongeaga usiku , au najikuta naomba bila kujua , au nakemea maana wengine tuna roho za kitoto macho yapo wazi kitu kibaya hata kiki cross uapnde wa jirani huku unajikuta unaona unaanza kufoka , so nikajikuta nakuwa sipo comfortabel kulala na watu sana, nikaona kukomesha huu mtatizo na kucholana kila mtu alale kivyake π π π π na nikilala na mtu nalala masaa machache sana ile alafajiri kabisa
Mungu Akuwezeshe ndoto zako zitimie [emoji1545]Jaguar nimeiachia mkuu.. Kuna project zimenikamata niliuza ili kukuza mtaji wa kuendeshea kazi bila mikopo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].. But Karibuni uwekezaji ukirudisha basi nachukua Lexus LS500
Kwanza mkiwa serious sana hata nyuso zinazeeka kabla ya muda woiiiππ Lazima aende kijeshi jeshi.. kuna raha ya kuzinguana bwana.. hapo mnakuwa washkaji sanaa sio mnakuwa serious kama walinzi wa makilikili kule kwa mawaziri πππ majamaaa hayachekagiii makauzu kishenzi
Ooooooh,,,,nilitaka kusema faza alifanya mafekecheeOhooo; Mimi Niko simbo Tabora vijijini huku
Jaman diet ya niniπDiet muhimu sanaa π π π napenda sana baridi sijui kwasababu nakaa mahala penye baridi kali sana mda mwingi