abdullahsida
Member
- Nov 21, 2015
- 26
- 2
Vuta subira kwani zimepita wiki tano saivi?
hivyo ni vyuo vya binafis au serikali ?Kk kuna vyuo vinafunguliwa tr 04/07/2016 na vingine tr 11/7/2016 hapo cjui nacte wamejipangaje kwa Hilo?
Nenda ufungue website yao na usome tangazo.Hawakusema ndani ya wiki nne walisema baada ya wiki nne toka tar 3/6
Kwa hali hyo kesho ndo itaanza kutumika kuwa ni baada sio leo wala wiki iliyoisha
Sasa wangejua hivyo wasingetangazia umma kwamba watatoa kwa muda wa wiki NNEnyie madogo acheni papara,wenzenu mwaka jana walifanya applcation tangu mwez 4 selection zikaja kutoka mwezi 10.nyie mmekaa mwezi mmoja tu mnaanza kulalamika
Tetesi wanasema tr 04/07/2016Sasa wangejua hivyo wasingetangazia umma kwamba watatoa kwa muda wa wiki NNE
Kweli kk ngoja tuendelee kusubili wiki ya tano tuoneacha kudangaya wAtu bwana, mwak jana walienda vyuoni mwez 5 tena hao ilikuwa no second selection.
nit hakiwez kufunguliwa hyo tarehe... coz mi nasoma degree hapa mwaka wa tatu, tunamaliza UE tareh 22 mwez wa saba... kwa hyo from hyo tarehe ndo watu wa semista nyingne wanaweza kuingia......nikwel kuna vyuo vinafunguliwa mweza7 km dit,nit