ushaidi jombaaActually n tar 1 jully according to nacte
Mbona hiyo maada haihusiani na topicwaeke matokeo watu wadogo zetu wamepangiwa shule zza mikoani halafu ni day school, ena combination walizochagua na kufaulu wamenyimwa
Pow kkwe jamaa unaejiita andrew sospeter
,,haya mambo kama hayakuhusu nyamaza!! naona unachangia vitu vya ajabuajabu..
mara useme zimetoka,, mara useme hivii!!
hujui watu wanataka kujua hatma za maisha yao hapa!!
be matured!!
Hivi ukiapply certificate chuo inaweza kusababisha usichaguliwe kwenye second selection kidato cha tano,?Yaeh matokea tatatoka baada ya second selection kidato cha tano kutangazwa kuanzia tr 05/08 /2016 ndipo nao nacte watakapo tanganza matokeo hapo tr 30 /08 /2016 be patient all student applied for certificate and diploma poleni kwa usumbufu
Advance please!tunamalizia michakato ya kuwachambua wanaofaa kuweni wavumilivu ok
Na mimi bro nina swal kama lako kana rfk angu ana tatizo kama hilo tunaomba mtaalamu atujibuHivi ukiapply certificate chuo inaweza kusababisha usichaguliwe kwenye second selection kidato cha tano,?