Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Sijajua ndio muda huu naichunguza hii taarifa mbona naiona kama ya mwaka uliopita.
 
Habari zenu wana jf naombeni kuuliza wanafunzi watakaodahiliwa na NACTE kuchukua Diploma in Education wataanza muhula mwezi wa ngapi?
 
Wandugu hapa nilipo ninasubiria matokeo ya Nacte kwa hamu Kwan kulingana na tangazo lao la 9/06/2016 wiki hii ndio kitu kinakua out, presha inapanda na lushuka, Mungu saidia niwemo.
 
Wandugu hapa nilipo ninasubiria matokeo ya Nacte kwa hamu Kwan kulingana na tangazo lao la 9/06/2016 wiki hii ndio kitu kinakua out, presha inapanda na lushuka, Mungu saidia niwemo.
nani alikwambia hiyo tarehe nacte hawajasema hivyo
 
nani alikwambia hiyo tarehe nacte hawajasema hivyo
Mkuu usimpinge Mleta Uzi, Ni Kweli NACTE Wamesema hivyo!

Kutoka Kwa Nacte Ninanukuu ""Zoezi la kuchambua waombaji udahili na hatimaye kuchagua waombaji wenye sifa stahiki na waombaji hao kuidhinishwa na mamlaka husika na kutangazwa litachukua muda wa wiki nne (4) kuanzia tarehe 3 Juni, 2016"" mwisho wa Kunukuu.

Reference: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA WA KUPOKEA MAOMBI YA UDAHILI WA KOZI ZA CHETI, DIPLOMA, DIPLOMA YA JUU NA SHAHADA YA KWANZA KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) UNAORATIBIWA NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) - NACTE

Nacte Wamesema Kuwa Matokeo Yatatoka Baada Ya Wiki 4 kuanzia Siku Ya Kufunga Kupokea Maombi ambayo Ndiyo Siku Walioanza Kuchambua Wadahiliwa ili Wapate wenye Sifa, ilikuwa ni tarehe 03/06/2016.

Sasa Labda tusaidiane Kuanzia Tarehe 3 mpaka tarehe ngapi itakuwa ndiyo interval ya wiki 4?

By the way, Be Patient mleta uzi!!!!
 
Back
Top Bottom