Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Jamani mm na swali dead line ni tarehe 15 ya ku apply vyuo kupitia nacte sasa kwa wale walioomba kuanzia tarehe 10 hadi 13 maombi yao yatakubalika kweli??????
 
PLEASE CHECK ADMISSION STATUS:
Congratulations! You have reached the end of admission application process, below is a summary of your application status.
Please review it and make follow up in the places which require your attention.JAMANI KUNA MTU KAAMBIWA HIVI KAMA MIMI?
 
Ndiyo kuna jamaa yangu kaandikiwa hivyo
Ila sijajua watatoa lini hzo second selection
 
Jamani kuna aliyeweka machaguo pungufu ya tano? Mbona kama nalazimishwa kuweka machaguo matano?
 
Jamani kuna aliyeweka machaguo pungufu ya tano? Mbona kama nalazimishwa kuweka machaguo matano?
Ndyo jamaa yangu kaweka matatu lakini ajaambiwa hvyo kama ww ulivyoandikiwa, inawezekana umeandikiwa edit qualification, na add more choice kama umeandika hvyo kuna kozi umechagua haziendani na ufaulu wako
 
Angalia vzur kabla second selection hazijaachiliwa. Fanya hvyo haraka
 
Samahani kwa wale ambao walichaguliwa second selection,wameisha be confirmed kutoka vyuo walivyochaguliwa?,maana kwenye profile langu naona kimya tu.
 
Mkuu nina GPA kubwa Sana aisee. Yaani hadi wamefikia kushusha GPA wasingeweza kunifanyia hivyo. Kuna muda walibadili wakaniambia wait for selection. Nadhani tayari nimeshachaguliwa first option sema bado wananitia mapresha tuu.
 
Back
Top Bottom