naona physics kazingua angepaswa apate d kupanda juu sababu kozi yoyote ya afya wanachukua masomo ya chemistry, biology na physics uwe una c mbili na d moja sasa hapo kakosa sana maana ana cdeNitoeni shaka ndugu zangu kwa ufauku huu ndugu yangu anaweza kuchaguliwa kwenye chuo chochote na huu mfumo wenu wa kisasa wa udahili!?
Biology D, Chemistry C, Geography D, Kiswahili B, English C, Physics E, History E, Civics E, Math F,
Amemaliza form four 2014 akupata nafasi ya kuchaguliwa though tuliomba kupitia nacte na alichagua kozi za afya lkn hakupata naomba mniambie ukweli nijue cha kufanya asije akabeba mimba hapa nymbani nduguzanguni.
Hv website yao inafanya kazi,maana karibu mwezi mzima nilikuwa siwezi log in kwenye profile yanguHabari zenu.
Week lililopita, tulienda ofisi za NACTE. Lengo sio kuuliza selection zitatoka lini, ila kuuliza possibility ya kufungua Application za Certificate na Diploma kwa mwaka wa Masomo 2016/17 zipo?
Kwa mujibu wa "anonymous" mmoja wa ofisi za pale, alisema watafungua tena zoezi la application za certificate na diploma, walisitisha kwa muda ili wazishughulikie kwanza zilizo wafikia. hii system ya CAS kwao ni ngeni hivyo inaleta "mushikemushike" kidogo.
Pia, kutokana na yaliyotokea TCU, na kusababisha form six leavers wengi wakose sifa za kujiunga na Higher Institutions, wao itabidi wafungue tena zoezi la kupokea maombi ili wasiwanyime hawa vijana nafasi ya kusoma.
imo kutokana na hayo matukio mawili, either selection zitacheleea kidogo, au zitatoka kwa batch.
zilichelewa ni vibaya, kwakua utakua umempotezea muda mwingi sana mwanafunzi. bora zingekuja mapema ata kwa batch. walio apply mapema watolewe selection watakao apply apply second round zitatoka mwezi ata wa 10.
iyo ndo stail watakayo kuja nayo sasa mana kunawengine wanataka kuapply na kama ujachaguliwa it means chuo akikup taarifa au?Nacte selection washatoa ila majina yamepelekwa vyuo husika kwa wale walioomba cert na diploma. Kwa hyo chuo husika ndio wanatakiwa kukutaharifu ww mwanafunzi na kuna baadhi wameshachaguliwa na hadi joining instructions wamepata
Kuna tofauti gani kati ya NTA level 4 na 5Hata kwenye profile tayari wameshatoa selection hizo.
Pia unaweza ukasearch namba yako ya mtihan ukapata majibu