Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
Duuuhyaan mi mpaka nahisi kuchanganyikiwa home wanasumbua sana yaani watoe tujue mapema ili kama kwenda kuuza madafu twende tu
Duuuhyaan mi mpaka nahisi kuchanganyikiwa home wanasumbua sana yaani watoe tujue mapema ili kama kwenda kuuza madafu twende tu
Yaan tunaosubiri ni wengi pressure inapanda pressure inashukaPost za vyuo zinatoka lin 2mechoka kusubiri jmn![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Andrew SosipeterSubiri kidogo
Mbona hujaenda jukwaa la utambulisho kwanza. Au kwenu hamsalimii kabla ya kuuliza?jamani tutasubiri hadi lini sasa watuambie ukweli tuh
namba wasiliana nao 0745335568Mnaweza nisaidia jinsi ya kuwasiliana na nacte!!!!![]()
Enks san..ila ni za kwel??!namba wasiliana nao 0745335568

Mmmh mpk lin ssSubiri kidogo
DaaaahTujipe moyo mkuu