Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Ishu no kwamba yatatoka tu,wala msijali hata kidogo. Acheni wenge. Kwanza vyuo vingi vinafunguliwa mwezi wa 8. Mna mizuka kupita kiasi.
 
Nacte inawataka muende form 5 kwa hiyo mpaka deadline ya kupokea form 5 ipite ndio watatoa selection zao.
 
Nacte inawataka muende form 5 kwa hiyo mpaka deadline ya kupokea form 5 ipite ndio watatoa selection zao.
Hahaha iyoo tamu ila kweli wengine mna tamaa mmechaguliwa kwenda five bado mnawaulizia nacte jindanganyeni msiende five then mkute kule nacte mmekatwa
 
Nacte hawana tatizo tatizo lipo wizaran wameshamaliza mchakato wa kuchagua ila wanasubir ruhusa ya kutangaza kutoka wizara ya elimu
 
Siku hiz kila kitu kinaendeshwa kwa siasa tu. Uongo umekuwa mwingi sana kila sector.
 
Back
Top Bottom