Sijajuwa n mchezo gani serikali inacheza mpaka sasa maana majina ya sec round ni machache sana na pia wanafunzi wengi hawajaona majina yao mwanangu analia tuu hapa vyuo vitatu na hajaona jina lake
Huu mfumo ni pasua kichwa kweli kweli mpaka sasa vyuo kama mzumbe, udom and udsm hawajatoa majibu kwa wale waliochaguliwa chuo kimoja kati ya hivyo, mwisho wa kutuma maombi awamu ya tatu ni hiyo kesho sasa huo muda unapatikanaje?