Sekta ya Afya nchini kunufaika na msaada wa Dola za Marekani Milioni 600 (takriban Tsh. Trilioni 1.4) kutoka Global Fund

Sijakuelewa bado labda sauti iko chini kidogo
 

Mkuu

Oman haikuvamia land ya tanganyika, na tanganyika ndio ilio kuwa land ya Zanzibar, sijui kama unajua history, na itafute history ya sultan kuja east Africa miaka 200 ilio pita, then uje hapa tujadili.

Zama hizi zimebadilika, hata Kenya ilikuwa Zanzibar empire,Somalia vile vile, lkn haikupi uhalali kuikalia Zanzibar kimabavu kutokana na history
 

Mzee was sovereignty upo?

Nyinyi ndo mnawajaza upepo viongozi wetu kichwani kwamba sisi hatutishwi. Mkishindwa kujua kesho ARVs na madawa yakikosekana..utawakuta watu barabarani....Huo mfuko wa Global Fund ni 100% hela ya mabeberu!

Tujifunze, kiburi na majivuno siyo uungwana. Tukikosolewa, tijisahihishe. Haina haja ya kupigana nguvu na waliotuzidi.

US na mabeberu wenzake leo hii wakiamrisha hata maji ya kunywa tusipewe na taifa lolote, itakuwa hivyo.

Wenye uelewa wanaelewa.
 

Dah akili yako sasa ipo lumumba tena, please go back and get it , uje tujadili ukweli na sio siasa maji taka
 
Mayala!! hahahaaaha


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yes ni initiative ya KA, lakini biggest funders wa huo mfuko ni Western countries just like the UN itself. Hivi leo US akisema anazuia hela/michango yake kwa UN au mashirika yake..kuna taasisi yoyote ya Umoja wa mataifa itakayosalimika?

Juzi US amechelewa kulipa michango yake UN..matokea yake hata umeme pale makao makuu ya Umoja wa mataifa ukawa wa mgao..lift mwisho kutumika saa kumi na mbili jioni.....achana na hiyo nchi ya akina Ngabu mzee....
 
BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA. The opposite of light is darkness,
 
Sultan Seyyid Said alihamishia Sultanet yake toka Oman kuhamia Zanzibar mwaka 1832, na alipofika Zanzibar alikuta kuna wenyeji, ukoo wa Mwinyi Mkuu, lakini alijitwalia visiwa hivyo as if havina mwenyewe.

Wakati wa mkutano wa Berlin wa mwaka 1884 kuligawa bara la Africa, Zanzibar na eneo la 10 miles coastal strip iligaiwa kwa Sultan of Zanzibar as if Zanzibar ni mali yake, kumbe na yeye ni mvamizi tuu. Tangu hapo wengi walidhani Zanzibar ni mali halali ya Sultani, hadi ile tarehe 12/01/1964, wenyeji wenyewe wa Zanzibar wenye Zanzibar yao, walipoamua imetosha na kwa kusaidiwa na wageni wazalendo kama John Okello, wakaikomboa Zanzibar kutoka katika utawala wa Sultan kupitia yele Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964, na ndipo wakaunganisha na Tanganyika kwa kuirejea asili halisi ya Zanzibar kwa kuirejesha kwa mmiliki halisi halali, ndio maana tunasema muungano utalindwa kwa gharama yoyote kwasababu ulitokana na machozi, jasho na damu, hivyo unaweza kulindwa kwa machozi jasho na inapobidi, hata na damu!.
P
 
inawezekana hata mimi na wewe tungeshapukutika. msaada wao ni mkubwa sana lakini usizidi mipaka.
njaa ninayo lakini sio unigongee my wife.
 
Januari mwakani, hiyo ni kama vile kamtego flani hivi.
 
Unajuwa ni ukweli kabisa wazungu na nasema nchi za Ulaya na USA katika masuala ya kiubinadamu ni watu wa karimu sana pamoja na mapungufu yao mengine lakini katika hili ni hulka yao. Ziko taaisisi kubwa USA ni pesa ya matajiri tu wanatoa ili ziende sehemu kusaidia.
 
Hiyo cocacola na bill & melinda ni ya wapi? Magogoni?

Kwa taarifa yako Trump anauwezo wa kuwambia hao melinda na coca wasitoe mchango huko global fund na wakafanya hivyo bila kupepesa macho
Bill gates ana foundation yake The Bill & Melinda Gates Foundation sasa ukisema UN unajuwa USA wanachangia ngapi? changanya nchi zote za Africa. USA anatoa 28% ya budget yote ya UN iliyobaki ndio sisi sote pamoja na bara la Ulaya. actual Africa ni kama zero tu hakuna mchango kelele tu
 
Duu Pascal Mayalla ni wewe umeandika au uimeandikiwa? Kuna mtu kakwiba I'D yako Ngosha. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
inawezekana hata mimi na wewe tungeshapukutika. msaada wao ni mkubwa sana lakini usizidi mipaka.
njaa ninayo lakini sio unigongee my wife.
Ukiwa na njaa lazima utagongewa tu mkeo, haina jinsi
 
Siyo akifanya mabaya bali akifanya tusiyoyataka au akikemea mambo ya kishenzi tuyafanyayo, anageuka kutoka mfadhili na kuwa beberu.
 
Truthfulness, objectivity na impartiality are the three pillars of journalism, hivyo kutoegemea upande wowote ndio msingi Mkuu wa fani yetu.
P

Jambo hili hili likiletwa wakati mwingine au kwa namna nyingne unaweza kuwa upande mwingne ndio mshangao wangu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…