Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,424
- 9,357
Mtu akikusaidia na baadae akakugongea mkeo utamuitaje?
Amefanya mema na Mabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefanya mema na Mabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Elli, samaki mmoja akioza under the principle of a collective responsibility . Koffi Annan kawekwa strategically kutokana na international accomplishments zake na status yake, lakini hachangii hata senti moja. Fedha za Global Fund ni fedha za beberu Bill Gates.Kaka unakosea sana kumuita The Late Koffi Anan beberu....soma founders wake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu supu MkuuMkuu Elli, samaki mmoja akioza under the principle of a collective responsibility . Koffi Annan kawekwa strategically kutokana na international accomplishments zake na status yake, lakini hachangii hata senti moja. Fedha za Global Fund ni fedha za beberu Bill Gates.
Billy & Melinda Gates Foundation inafanya mengi makubwa mazuri kwa nchi masikini lakini pia kuna kaji element fulani ka ubeberu, mfano kusambaza various vaccines za kuzuia magonjwa fulani, kwa nchi masikini tuu, mfano wale mbu wa malaria, hapa wametuletea vaccine ya kuzuia cancer ya kizazi mabinti wetu wadada wakachanjwa kumbe pia ni kuwa sterlize, cancer inaua sana Wazungu kuliko hata sisi, serikali yetu haikujiuliza mbona mabinti wa kwao hawawachanji wanakuja kutuletea sisi?!.
Wale GMO mosquitos waliopelekwa nchi fulani, kumbe pia wana fanya sterility!. Unadhani Koffi Annan aliambiwa au alikuwa anajua hili?. Huu pia ni ubeberu.
P
Mkuu,leo umeandika kama binadamu,au akili zimeanza kukuludia baada ya teuzi zote bila kukumbukwa?Kiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Na JPM unadhani ni Msukuma kweli?
Bora umesema ukweli ,shida ni uelewa mdogo wa wanaCCM wanaotafuta vyeo kwanguvu.Jana mzee kanyamaza kimya maana alijua na hii isingepita.Ila anatakiwa afanyie kazi issue walio raise USA kwani ndio contributor namba moja wa Global funds.Hata huyo Linden ni mmarekani mweusiKiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Kiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria katika kipindi cha miaka mitatu.
Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa Mfuko huo Barani Afrika Bw. Linden Morrison, alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Jijini Dodoma.
View attachment 1344906
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Global Fund Barani Afrika Bw. Linden Morrison
Amesema kuwa fedha hizo sawa na takriban shilingi za Tanzania trilioni 1.4 zitatumika kuimarisha afya kwa kupambana na magonjwa ya Ukimwi, Kikufua Kikuu na Malaria ambapo vifaa tiba na vitendanishi mbalimbali vitanunuliwa kupitia msaada huo katika kipindi cha miaka mitatu (2021-2023).
Ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka 15 ambacho taasisi yake imekuwa na uhusiano mzuri na Tanzania, Mfuko wake tayari umetoa msaada wa dola za Marekani bilioni 2 kwa ajili ya kusaidia sekta ya afya hususan katika mapambano dhidi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, ameishukuru Taasisi hiyo ya Kimataifa ya Global Fund kwa mchango mkubwa iliyoipatia Tanzania katika mapambano dhidi ya magonjwa hayo hasa malaria, ugonjwa unaoongoza kusababisha vifo vya watanzania wengi.
Dkt. Mpango aliahidi kwamba fedha hizo zitatumika kikamilifu na kama ilivyokusudiwa ili zilete matokeo chanya kwa kuwafikia walengwa nchini kote.
‘‘Nimefurahi kwa sababu nina matumaini kuwa tumepata nguvu ya kupambana na magonjwa haya makubwa, ili Watanzania wawe na afya njema na waweze kujenga uchumi wa nchi yao’’ Alisema Mhe. Mpango.
Aidha Dkt. Mpango alisema katika kikao hicho wamejadili namna ya kuboresha zaidi ushirikiano uliopo kati ya pande hizo mbili ikiwemo kuangalia namna ya kutoa msamaha wa kodi kwenye vifaa yakiwemo magari ya kubebea wagonjwa na dawa zinazoingizwa nchini na Taasisi hiyo kwa ajili ya mradi huo.
“Aidha, Ili kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Taasisi ya Global Fund, nchi itahakikisha inakuwa na ushiriki mpana katika Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko huo ili sauti ya nchi iweze kusikika zaidi” aliongeza Dkt. Mpango
Kuhusu ubadhirifu wa zaidi ya dola za Marekani 400,000 zinazodaiwa kufujwa na baadhi ya Watendaji wa Serikali wanaotekeleza mradi huo hapa nchini, Dkt. Mpango ameuahidi Mfuko huo kwamba Serikali itachunguza na kuwachukulia hatua kali watu wote waliohusika na vitendo hivyo.
Kiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
Hata mtu kugongewa pia ni kusaidiwa, usikute mtu hamfikishi mwenzi wake, hivyo kila siku kumlaza na njaa, anaposaidiwa ndipo anapotulia kwenye ndoa, hivyo ndoa nyingi zinaendelea kuwepo na kudumu kwa misaada hii, tena kuna nyingine nyingine nyingi baada ya kukosa watoto kwa muda mrefu ndani ya ndoa due to low sperm count, familia ikikosa mtoto, anayenyooshewa kidole ni mwanamke, hivyo wanawake wenye akili, wamefanya maarifa, sasa ndoa zina watoto na furaha tele!. Just imagine bila kusaidiwa hali ingekuwaje?.Mtu akikusaidia na baadae akakugongea mkeo utamuitaje?
Amefanya mema na Mabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
No sio huwa sina akili bali sometimes ni uzalendo, mfano kwenye kujadili issues zozote za muungano, natanguliza uzalendo wa kuusema ukweli mchungu!, mfano hapa nikikueza, Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Azania kabla ya mmomonyoko wa bahari na kumegeka kutoka Azania, hivyo muungano wetu adhimu emeturudishia eneo letu na kamwe hatutaliachia tena!, haswa kwa kuzingatia kuba mvamizi toka Oman, alivamia na kulowea hadi kuunda Usultani, lakini baada ya kulikomboa kwa machozi, jasho na damu kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na kulirejesha eneo kwa wenyewe, walowezi wa mvamizi kamwe hawawezi kupewa tena kwa kipande cha karatasi!.Leo umeamka na akili yako timamu, respect , some days huwa ukiamka unaiyacha lumumba
Kiukweli hizi Taasisi za Marekani zinavyotusaidia, mfano US Aid, Global Fund, Millennium Challenge Account, etc, wanatusaidia sana, ni kama malaika mkombozi fulani mfano watu wangejua gharama za vidonge vya ARV, Kifua Kikuu na Ukoma, na kujua ni Marekani wanatupa bure na sisi tunazigawa bure, hivyo nchi kama Marekani, Uingereza, EU wanapotusaidia, tunawaita ni nchi wahisani au nchi wafadhili ila pale wanapotukosoa kwa madudu yetu, then wanageka ni mabeberu!. Hivyo mtu mmoja yule yule akifanya mema ni malaika, akifanya mabaya ni shetani!.
P
akiwaandikia hao itakuwa pooaa sna mana tutahesabu ni bao la pili😂😂😂😂Zito atawaandikiaa tena barua hao maana alivyo na roho mbaya huyu Mrundi
mkuu siku zayoyoma hizoooo na MEKO anajifanya hakuoni😃😃😃No sio huwa sina akili bali sometimes ni uzalendo, mfano kwenye kujadili issues zozote za muungano, natanguliza uzalendo wa kuusema ukweli mchungu!, mfano hapa nikikueza, Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Azania kabla ya mmomonyoko wa bahari na kumegeka kutoka Azania, hivyo muungano wetu adhimu emeturudishia eneo letu na kamwe hatutaliachia tena!, haswa kwa kuzingatia kuba mvamizi toka Oman, alivamia na kulowea hadi kuunda Usultani, lakini baada ya kulikomboa kwa machozi, jasho na damu kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na kulirejesha eneo kwa wenyewe, walowezi wa mvamizi kamwe hawawezi kupewa tena kwa kipande cha karatasi!.
P
Laiti ungelijua...mkuu siku zayoyoma hizoooo na MEKO anajifanya hakuoni😃😃😃
Truthfulness, objectivity na impartiality are the three pillars of journalism, hivyo kutoegemea upande wowote ndio msingi Mkuu wa fani yetu.We jamaa sikuelewagi upo mashariki au magharibi...unayumbayumba sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums