Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,250
- 17,547
The Global Fund siyo mufko wa Wamarekani NO! Global Fund ni mfuko wa UN ulioanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati Koffi Annan (RIP) akiwa Katibu Mkuu. Ni personal initiative ya Koffi Annan aliyoiona ni nzuri ku-pursue akiwa Katibu Mkuu wa UN by then kwa Waafrika wenzie ambao walikuwa hawaezi ku-afford medical costs za HIV/ AIDS ambazo zilkuwa sky rocketing.Marekani anasaidia masikini kwenye masuala ya afya hata kama anapinga naye. Juzi tu Iran naye kapewa upenyo wa kuagiza dawa na vifaa tiba. Usishangae huu mfuko wa Global Fund ambao ni wa hao hao marekani kusaidia masikini kama Tanzania kwenye masuala ya afya
Lakini Mfuko huu huwa vyanzo vyake vya hela ni donations toka kwa mashirika makubwa duniani kama The Cocacola, Bill & Melinda Gates, nk