Wameiba na mtihani ili wapate socialempathy kwamba wako wanafanya kazi nzuri pamoja na tuhuma za scandal wanazopewa! Hivyo kufuatia matokeo hayo wasinyooshewe vidole kwa sana! Ni mkakati wa kupoza hasira za Wanan
chi!
Miaka yote wanafanya vizuri mbona?Hata wanafunzi wao ukiwaona wako vizuri vchwani ukiongea nao.