Sehemu za ukweli Arusha

Upuuzi wako usiulete huku! Hakuna wajingawajinga wa hivyo. Nakushauri uishie singida kwenye kambi ya green guide mkaomboleze huko maana Arusha itakuwa hot baada ya cdm kuichukua Igunga!
 
Upuuzi wako usiulete huku! Hakuna wajingawajinga wa hivyo. Nakushauri uishie singida kwenye kambi ya green guide mkaomboleze huko maana Arusha itakuwa hot baada ya cdm kuichukua Igunga!

Wewe hauishi Arusha, unasoma kozi ya ualimu wa shule ya msingi chuo cha ualimu Kasulu.
 
Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa lifti ya helikopta ya Mbowe kutoka Dom.

Ulizia Matejoo.
Huko ndio size yako.
 
Wewe hauishi Arusha, unasoma kozi ya ualimu wa shule ya msingi chuo cha ualimu Kasulu.

Ushamba utakumaliza! Umekimbia kwenu Rorya ukaona Kigoma kama jiji kisa kuna chuo cha ualimu!? Umepelekwa dom na Nape, sasa unaona ume achieve maisha! Pole sana Mwita. Nilisahau story za shule miaka 7 iliyopita!
 
Nimeamua kwenda Arusha wiki ijayo kama sehemu ya kujipongeza kwa ushindi. Yeyote mwenye taarifa ya sehemu nzuri zaidi za kujiachia tafadhali anisaidie kunijulisha. Nitasafiri kwa lifti ya helikopta ya Mbowe kutoka Dom.

shukua sehemu moja inaitwa Mrina, pembeni ipo Shivaz. Kuna malaya wa kutosha.
 
Hivi nyie watu wa arusha ile sakina bar bado ipo?? Reminds me ile mikuku ya mboga mboga dah... Arusha bwana
 
nenda pale shivas au mrina ukale vi2 vya ki iraq na kirangi! wenzako wa mjengon wakijaga 2nawaona viwanja! arusha kuna barid bana! alafu hacha izo zako zakimliman, eti harrier?? ulishasikia gari inaitwa cardillack au chlovete? zote izo ni v12 hamna mawazo hapo mkuu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom