Daaa.Hebu anaetaka camping aje PM twende sio lazima awe KE hata mkiwa ME fresh tu
tuwe mtu 4 twendeni hii coming weekend Jumapili, Mad Max hebu nielekeze
mgeni ninaetokea Hapa Mbezi Mwisho,nielekeze napita njia ipi hadi nifike nipe idea idea
halafu ntajazia jazia nyama na Google Map,Last sunday niliboeka kinoma ikabd nifanye tour ya kuzunguka Dar nzima kuhakikisha tu ule mshale wa mafuta unatoka kwenye full unainama kidogo,ndio ikawa mwisho wa tour yangu.
Jumapili ijayo nataka nijaribu tena huko...
Asante kwa kushare je unaweza kwenda mwenyewe kama ni msichana usalama wake upoje?Pamoja sana. Unaweza kwenda day trip. Itakua chini ya elfu 20 kwa mtu ila mkiwa wengi inakua cheap. Bei zipo hivi:
Washkaji wakarimu sana pale yaani wako peace knm. Utaenjoy sana boss.
- Kiingilio 2500 (kwa mtu),
- Hela ya guide 20,000 (guide mmoja anahudumia watu 10 so mkienda 10 kila mtu anachangia elfu 2 so better mkiwa crew)
- Boat elfu 10 (sio lazima)
- Ukitaka camp tent zipo za 15,000 (maximum watu 4) na zipo kubwa za 40,000 izo ata watu 10.
- Ukienda na camera kubwa unailipia elfu 5, drone 50,000 ila nadhani hautaenda nazo.
- Ndani hamna vyakula (ila wameanza kutengeza mahala pa kula) so nunua bites na vinywaji nje.
- Gari kuingia elfu 5 ila ukipaki nje free.
Hapa Hiking on top kabisa unakua unaiona Dar kwa chini. Wamejenga ngazi sahivi kupanda rahisi.
View attachment 2391100
Hapa chini camping pembeni mwa bwawa.
View attachment 2391103
PS: Gharama naweza kua nimekosea kidogo sana. Ila zinaenda humo humo.
CocoSawa mkuu hio saved on my list. Ndio ipo Masaki au?
Kama Una kampan nenda pachkonjo kigamboni stress-free zoneNatumaini wewe unaesoma uzi huu ni mzima wa afya.
Nimekuwa nikikaa hapa Dar kwa muda mrefu kidogo na kumakinika na kazi tu. Hii imekuwa ni 'one way go and return home'. Kwa sasa naona kuna umuhimu wa kutembea sehemu mbalimbali za kutulia na hata kuona jinsi watu wanavyokula maisha hapa Dar.
Kwa hiyo kama kuna anayejua sehemu mbalimbali nzuri iwe ni bichi, klabu, migahawa au mahali mtu anaweza kwenda kutuliza akili kidogo kwa muda na kurudi ambazo zipo hapa Dar. Na hizo sehemu nikienda kutulia hata vinywaji na chakula gharama ya chini iwe 20k.
Kuwe na watu wengi ambao wanakuja sehemu hiyo, muingiliano uwepo kidogo wa watu, hata kukiwa na 'vibe' kidogo sawa kabisa. Eneo na jina la mahali ndicho nachohitaji ili nianze kwenda kupoa siku za wikiendi na siyo kuzubaa tu nyumbani.
Kwa msaada wa google maps yote yanawezekana!
juliana ohhhhhh.... noma sanaJuliana
Tipsy
Kidimbwi.
Montana VIP Lounge.
Apitie na hospitali ya Ocean Road ndipo aende beachKatembee mloganzila pitia kule mochwari, wodi ya watoto na akina mama, Wodi ya wazee ukimaliza nenda pale Beach yoyote iliyo karibu nawe ukatafakari ukuu wa Bwana
Hakyanan najuaga haya maeneo yapo lushoto huko sijui. My goodness kwanini sijawahi kujua aisee... Naanza ziara rasmi. Kumbe Dar ni balaa sana nilikua naboreka bure..siku nimeenda bagamoyo hadi snake park kaole, na Dar zoo nikajua nimemaliza maeneo ya asili. Damn damn damn, I love nature..pindi nipo Iringa nilikuaga naenda hadi tosamaganga kwenye maporomoko afu man alone bila demuUsalama upo bro. Sio mchana wala usiku. Usalama mkubwa sana. Ni misitu iliochini ya TFS (Tanzania Forest Service) Agency.
Diamond Platnumz ndio ameupa umaarufu zaidi baada ya kupigia baadhi ya vipande kwenye video ya Mtasubiri alioimba na Zuchu.
View attachment 2391237
Lakini pia wakati Jokate ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe alikua na campaigns nyingi sana kule kama Ushoroba Marathon na pia aliwahi mtumia Diamond kama balozi kutangaza utalii wa pale Ushoroba.
View attachment 2391238
Baadhi ya picha (Sio zangu hizi)
View attachment 2391239
View attachment 2391240
Loliondo ya Arusha au? SijaelewaKibamba mnada ni Jumatano kwa Jumapili, kituo kibamba shule. Ukishuka hapo unapanda bajaji 500 ni karibu sana au boda ya buku. Mida mizuri nyaka kuiva ni kuanzia saa 7mchana hadi saa2 usiku.
Loliondo ni Jumamosi mida ni kuanzia sa5
Goba ni Ijumaa na jumapili.
Tupange twende namimi, then tukifika kila mtu anaweza jipa mda flani alone kutafakari yalompeleka. Tunanunua vyuku kienyeji tinaweka kwenye ice tunaenda kuchoma hukoAsante kwa kushare je unaweza kwenda mwenyewe kama ni msichana usalama wake upoje?
Tupange twende namimi, then tukifika kila mtu anaweza jipa mda flani alone kutafakari yalompeleka. Tunanunua vyuku kienyeji tinaweka kwenye ice tunaenda kuchoma hh
Tupange twende namimi, then tukifika kila mtu anaweza jipa mda flani alone kutafakari yalompeleka. Tunanunua vyuku kienyeji tinaweka kwenye ice tunaenda kuchoma hh
Wewe umewahi kwendaTupange twende namimi, then tukifika kila mtu anaweza jipa mda flani alone kutafakari yalompeleka. Tunanunua vyuku kienyeji tinaweka kwenye ice tunaenda kuchoma huko
Unaenda vizuri na usalama 100% boss. Yaani usiogope. Wale ni wafanyakazi wa serikali na hautakua bored.Asante kwa kushare je unaweza kwenda mwenyewe kama ni msichana usalama wake upoje?
Kibaha Mail moja kuna sehemu inaitwa loliondo.Nauli 0.7k toka mbezi mwisho.Kuna mnada wa mbuzi kila jmosi.Karibu sana mkuu.Loliondo ya Arusha au? Sijaelewa
Asante sanaUnaenda vizuri na usalama 100% boss. Yaani usiogope. Wale ni wafanyakazi wa serikali na hautakua bored.
Kibaha maili1Loliondo ya Arusha au? Sijaelewa
twende this sunday bills on me if you are interested ncheki dmAsante kwa kushare je unaweza kwenda mwenyewe kama ni msichana usalama wake upoje?
Sawatwende this sunday bills on me if you are interested ncheki dm
Hizi za kibabe sanaOkay itategemea na interests zako. Ila me naweza kukushauri kama unapenda nature, tembelea sehemu hizi:
1. Pugu Natural Forest (Ushoroba) Hii ipo opposite na Minaki Secondary, kwahiyo daladala ni kama 2000/= jumla kutokea Ubungo.
Hapo utaweza kufanya hiking, camping, kuendesha boat, etc.
Gharama jiandae kuanzia 20k hadi 80k kutegemea na huduma.
View attachment 2390959
2. Vikindu forest reserve. Hii ipo opposite na kiwanda cha juice cha Bakhresa kipo Mbagala kwa mbele nimepasahau jina.
Activities ni sawa kabisa na Pugu hapo namba 1 ila ni cheaper na kasoro hiking hawana milima.
View attachment 2390964
Me kwa hizo mbili ndio recommend kama mtu wa kurelax mfano na bebe au friends.
Beaches, Malls, na sehemu zingine watakupa wadau.