Hii nimeipenda na naona itakuwa plani yangu ya mapema sana. kutembelea sehemu za nature huwa ni nzuri zaidi kwa kutuliza akili. Asante sana mkuu nitalifanyia kazi.Okay itategemea na interests zako. Ila me naweza kukushauri kama unapenda nature, tembelea sehemu hizi:
1. Pugu Natural Forest (Ushoroba) Hii ipo opposite na Minaki Secondary, kwahiyo daladala ni kama 2000/= jumla kutokea Ubungo.
Hapo utaweza kufanya hiking, camping, kuendesha boat, etc.
Gharama jiandae kuanzia 20k hadi 80k kutegemea na huduma.
View attachment 2390959
2. Vikindu forest reserve. Hii ipo opposite na kiwanda cha juice cha Bakhresa kipo Mbagala kwa mbele nimepasahau jina.
Activities ni sawa kabisa na Pugu hapo namba 1 ila ni cheaper na kasoro hiking hawana milima.
View attachment 2390964
Me kwa hizo mbili ndio recommend kama mtu wa kurelax mfano na bebe au friends.
Beaches, Malls, na sehemu zingine watakupa wadau.
Location bado hujaiweka mkuuNenda hapo kale vyakula vya kichina ubadilishe ladha
View attachment 2390974
Swala sio kumaliza sehemu zote ila niweze kufanikiwa kutembelea sehemu nyingi nzuri hapa dar kuliko kukaa sehemu moja tu. Na hii inasaidia sana kwa sababu maisha sio kila siku kuhangaika tu. Inabid kupata muda kidogo wa kupumzika na kurefresh akili. Na sehemu zinapokuwa nyingi tofauti inasaidia kutozoea au kukariri sehemu moja. Unabadili mazingira na exposure piaDar huwezi kumaliza starehe zake.
Sasa utajuaje kama Mualikwa ni mwana JF?. maana mualiko upo JF, kwa wana JF.Kwani jina lako ninanihusu nini mkuu
Saw mkuu ila location muhimuJaribu kwenda Mbudya au Bongoyo, hakika itakupa fursa ya kujionea wenye dhambi zaidi yako. Pia unaweza ukapata wasaa wa kujaribu dhambi mpya ambazo hukuwahi kufikiria kama unaweza kuzifanya
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
cheki cheki katekista,nipo paleee nasubiri Pm yako Jmos, Binafsi nikipata kampan ibada itafanyikia huko huko mbele ya safari (wanasema ibada popote eeh)Jumapili ijayo ngoja nicheki ramani za kanisa .si unajua mi mzee wa usharika??
[emoji2][emoji2] iko wapi hii?Wale wenzangu na mie twendeni sauz beach unalipia elfu 10 unafungwa kamba mkononi kama kuku ila kuna wezi kinoma japo mazingira ni mazuri
Kitambaa cheupe.Ingekuwa vizuri kama ungevitaja
[emoji2][emoji2] iko wapi hii?
Kigamboni huko ila kuna vibaka balaa sio pakwenda kwa mrembo kama ww labda uwe na bodyguard pembeni[emoji2][emoji2] iko wapi hii?
Mzee baba mi naendaga wa Kibamba na Loliondo huko Goba tunawaachia wa mjini [emoji28][emoji28][emoji28]
Pamenibamba balaa.😁😁 Nimeona aisee...hii tuitafutie weekend moja
weekend hii twende mpenzi.Ushoroba hua napaAdmire sana nikiona picha za wadau, na kumbe iko tu jirani.
Pananihusu hapo weekend moja, very soon.
Asante kwa mwongozo
😂😂😂Dah ,umenipa mawazo tayari,Hivi si mwaka jana zilisambaa videos za simba wakitembea vikindu na inasemekana wakitokea humo forest
Papo safe kweli
Halafu mfike huko maporini hutaki kupiga story unasema hupendi kuongeaongea🤪weekend hii twende mpenzi.
Yani mm chochote kinachoanzishwaga Coco beach hapana [emoji23]Nenda Wavuvi camp, ukajionee “Hello Jua” [emoji23]