Sehemu za kutembelea hapa Dar

Tatizo watu wakishapafahamu tu tayari pashaharibika.

Kuna baadhi ya watu wanatabia zisizo za kistaarabu huwa wanaharibu mahali kabisa.
 
Hapa nimeona Uzi huu nimetamani kwenda kibamba kula mbuzi. Nasubiri details zaidi Ili Leo niende. Nimepumzika bia kwahiyo weekend yangu hua naspend kutembea tu Ili nisipate arosto
Mwenyewe nataka update, usafiri ndio kipengele kwangu.
 
Umesomeka arif, panafaa kwenda hapo leo.
 
Vikindu napatamani sana hapa nikipata muda nitaenda
 
14,000Tsh mpaka 15k. Vp bei zao nzuri au kama bar tu? Sema Pako local sana Wala hapavutii. It's not worth it and I don't recommend labda uwe mkazi wa maeneo haya.
Sema ndio minada inavyokuwaga, mtu shazi lakini au watu sio wengi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…