Teh,teh,teh,teh....kweli kuna watu wana roho mbaya hasa ambao wana nyazifa zisizo endana na elimu yao.Itakuwa ni yule bwana mkubwa amekaa na timu yake akawaambia taneso wazidishe moto huko mjengoni ili pawake

Sasa maelezo yako yana correlate vipi na TUKIO LA AJALI LILOIKUTA CLOUDS ????.
sema umefurahi shosti at least be honest to yourself
Naona Upo Siti Ya Mbele Kabisa Umechukua Katika Mkutano Wa Halmashaur Kuu Taifa Ccm
Wee ni bonge la andazi sorry, ww ni bonge la kiazi.......Kwa ufupi nikuambie waziwazi, maana nakuambia kwa mafumbo unajidai huelewi. Ni hivi Paul ndie kafanya mchezo hua mchefu, na alichokifanya amewazidi ujanja maana clouds leo walipanga kumlipua yeye, so ameshtukia mchezo nae kafanya yake... Niishie hapa maana husadiki maneno yangu, hata nikikupa ushahidi utabisha tuuu

maadamu umesema hivyo basi naamini ni wewe Bashite ndio umefanya hayoMange Kimambi anajua aliyechoma moto kituo cha Clouds.
Hii ni lugha gani AIPO/ au na wewe ndio hao wamalawiduh alafu clouds aipo hewani
Kwahio hapa unakiri mtu mnaemsema kilaza,hana akili na uozo wote amewazidi ujanja Ruge na wajanja wote wa CMG?Kwa ufupi nikuambie waziwazi, maana nakuambia kwa mafumbo unajidai huelewi. Ni hivi Paul ndie kafanya mchezo hua mchefu, na alichokifanya amewazidi ujanja maana clouds leo walipanga kumlipua yeye, so ameshtukia mchezo nae kafanya yake... Niishie hapa maana husadiki maneno yangu, hata nikikupa ushahidi utabisha tuuu
Dah Mankondae mbona unatukana unadhani kwa nini kila mtu anasema ni makonda ndio anashirikiWee ni bonge la andazi sorry, ww ni bonge la kiazi.......
Yaaani Makonda kawashika fuzi za takor lazma mtembee mnainama walai.......
Yaani tukio la clouds ni kama ajali zingine ww ulitaka haya majanga yasiwapate clouds wao kama nani?
Mpumbavu huwa anafikiri kuwa kila mmoja ni mpumbavu kalivyo yeye. Hivi ndivyo ulivyo mkuujaman !dah !usikubali kuwa kaa !bashite ni KAA
Wamesharudi hewani.duh alafu clouds aipo hewani
Weka ushahidi wa Makonda kuhusika na hilo tukio au unaongelea hisia? Acheni chuki za kijingaDah Mankondae mbona unatukana unadhani kwa nini kila mtu anasema ni makonda ndio anashiriki
mara ya kwanza ulikuwa chekecheamara ya kwanza walivamiwa eeeh....................???????
sasa wamechomwa kabisa🙁🙁