kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,307
- 2,065
Ofcourse Camoranesi ni muargentina ila waitaliano asilia hawapo kama British ila wapo kama jamii zingine za wameditarenia kama greeks,syrians,lebanons,etcMchizi Camoranesi Kwao ni Argentina hana utaliano kama unavyomdhania... Ni Kweli Italian wana ngozi Nyeusi fulani sio kam British au Wafinland or Russian Sababu wao Damu zao ile kutawala sana Dunia walizalisha sana mataifa waliyoyatawala Haswa Arabs na Yahudi but wapo walio pure kabisa white kabisa
Hao waitaliano waliopo kama british ni wavamizi kutoka kaskazini nchi za german na skandnavia
Sent using Jamii Forums mobile app