Queen M
Member
- May 29, 2020
- 15
- 19
kweli lushoto kuzuriUsambaa Lushoto pia kuzuri sana ikifatiwa na Tukuyu, Mbeya.
kweli lushoto kuzuriUsambaa Lushoto pia kuzuri sana ikifatiwa na Tukuyu, Mbeya.
Kukahe acha kabisabila kusahau Mufindi iringa
Nshawahi fika hapa n pazuri mnoooh, nli enjoy sanUluguru Mountains Morogoro. Hakuna eneo zuri Tanzania zaidi ya milima hiyo. Pazuri, rahisi kufika, hakuna baridi Kali, maji ya kutosha, utakacho utapata. Karibuni Milima ya Uluguru, Morogoro.View attachment 1253796
Acheni kujipendelea nyie, sehemu nzuri ni Chato kwa Jiwe[emoji23][emoji23][emoji23]Ni Moshi, Kilimanjaro Tanzania.
View attachment 1253731
hauko serious weweAcheni kujipendelea nyie, sehemu nzuri ni Chato kwa Jiwe[emoji23][emoji23][emoji23]