Morogoro Mjini, ambaa ambaa na Milima ya Uluguru ,au fika Chuo cha Ualimu Morogoro, au Fika njia panda ya Dar mbele ya Kola hill barabara ya Matombo, then uliza. Zipo sehemu nyingi za hivyo, huko Mbete, Morning Side na nyinginezo.Mkuu nafikaje hapa?
sureSawa kabisa pia kuko poa kuna Lodge moja ya fishing ipo ukanda huo huwa inapendwa sana na ngozi nyeupe kwa mapumziko. Sehemu nzuri sana aiseee inabidi Watanzania tuanze kupenda kutembela maeneo yetu yana vivutio vinavotutia sana.
hapanaNdio Kitulo iko hapo?
Kwetu pia kuzuri,karibuni mufurahi,mkiwa na nyuso za bashasha.Ilikuwa asubuhi sana mkuu.
Kilimanjaro imebarikiwa sana.
Wapi hapa?Kwetu pia kuzuri,karibuni mufurahi,mkiwa na nyuso za bashasha.View attachment 1254386
Hicho cheusi kilichotulia hapo ni nini?Kwetu pia kuzuri,karibuni mufurahi,mkiwa na nyuso za bashasha.View attachment 1254386
Kwetu pia kuzuri,karibuni mufurahi,mkiwa na nyuso za bashasha.View attachment 1254386
duuh [emoji64]Mnapishana na nyoka kama binadamu mwenzio?
Morogoro naikubali sana lzm nikaoe kuleUluguru Mountains Morogoro. Hakuna eneo zuri Tanzania zaidi ya milima hiyo. Pazuri, rahisi kufika, hakuna baridi Kali, maji ya kutosha, utakacho utapata. Karibuni Milima ya Uluguru, Morogoro.View attachment 1253796
Ndiyo maana yake,na ukizingatia kuwa hili ni jukwaa la pichaKwa uhalisia zaidi sio
Ni kweli hata mkapa aliwahi sema hiliUsambaa Lushoto pia kuzuri sana ikifatiwa na Tukuyu, Mbeya.
Hata yanga wanakujaga kambi hapo Ni karibu na bigwaMorogoro Mjini, ambaa ambaa na Milima ya Uluguru ,au fika Chuo cha Ualimu Morogoro, au Fika njia panda ya Dar mbele ya Kola hill barabara ya Matombo, then uliza. Zipo sehemu nyingi za hivyo, huko Mbete, Morning Side na nyinginezo.
Moshi and Arusha are good brothers.Shindanisheni hizo za bongo, ila ARUSHA ni ya kushindanisha na Paris, Network na Shanghai.
Mungu endelea kuineemesha Arusha.
Aamin.
Kweli kabisa Network 😀😀😀Shindanisheni hizo za bongo, ila ARUSHA ni ya kushindanisha na Paris, Network na Shanghai.
Mungu endelea kuineemesha Arusha.
Aamin.
kweli kabisa nafurahia kuishi tanzaniaKilimanjaro imebarikiwa.
Najivunia kuwa Mtanzania. View attachment 1253743