Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Huu ndio uzi wa hovyo kwa siku ya leo
Acha asifie vya kwao...maana na wewe blulisifia jana kwenu
Huu ndio uzi wa hovyo kwa siku ya leo
Kwetu ni BukobaAcha asifie vya kwao...maana na wewe blulisifia jana kwenu
Picha tafadhaliUsambaa Lushoto pia kuzuri sana ikifatiwa na Tukuyu, Mbeya.
Kwa uhalisia zaidi sioPicha tafadhali
Hujafika Kitulo - Makete ni kuzuri mpaka anaitwa Bustan ya Mungu.Usambaa Lushoto pia kuzuri sana ikifatiwa na Tukuyu, Mbeya.
Kitulo National parkWale wanaotoka uluguru bado hawajaja eh?!
Kitulo is good.Hujafika Kitulo - Makete ni kuzuri mpaka anaitwa Bustan ya Mungu.
Kitulo National park
Mkuu nafikaje hapa?Uluguru Mountains Morogoro. Hakuna eneo zuri Tanzania zaidi ya milima hiyo. Pazuri, rahisi kufika, hakuna baridi Kali, maji ya kutosha, utakacho utapata. Karibuni Milima ya Uluguru, Morogoro.View attachment 1253796
Lushoto pazuri sanaUsambaa Lushoto pia kuzuri sana ikifatiwa na Tukuyu, Mbeya.
Ulisimama ndani ya hospitali ya KCMC bila shaka!Nimefurahi kuiona Kibo ikitabasamu na kuibariki Kilimanjaro na Tanzania. View attachment 1253738
Pamoja na hayo. Maeneo hayo ni Tanzania piaUzi wa kikabila,watakuja wahaya waseme Karagwe nayo nzuri wanyakyusa waseme.Tukuyu hatari waje wasambaa waanze na Lushoto mji wa Kijerumani list ndefuuu
Exactly!!Ulisimama ndani ya hospitali ya KCMC bila shaka!
Mbona pamepoa sanaaa...kunaishi watu huko kweli?Asubuhi ya leo nimefika kwenye huu mji uliobarikiwa.
Nimefurahi sana kuuona mlima Kilimanjaro ukitusalimia kwa tabasamu zuri kabisa. View attachment 1253733
Ilikuwa asubuhi sana mkuu.Mbona pamepoa sanaaa...kunaishi watu huko kweli?
mbona kama hapa ni KCMCKilimanjaro imebarikiwa.
Najivunia kuwa Mtanzania. View attachment 1253743
Kcmc sio Moshi-Kilimanjaro?mbona kama hapa ni KCMC
Sawa kabisa pia kuko poa kuna Lodge moja ya fishing ipo ukanda huo huwa inapendwa sana na ngozi nyeupe kwa mapumziko. Sehemu nzuri sana aiseee inabidi Watanzania tuanze kupenda kutembela maeneo yetu yana vivutio vinavotutia sana.bila kusahau Mufindi iringa