Tukuyu kuna hali ya hewa nzuri sana nimekaa pale patamu sanaUsambaa Lushoto pia kuzuri sana ikifatiwa na Tukuyu, Mbeya.
SawaKuna Ugweno nako kuna hali ya hewa nzuri
Tukuyu kuna hali ya hewa nzuri sana nimekaa pale patamu sana
bila kusahau Mufindi iringaUsambaa Lushoto pia kuzuri sana ikifatiwa na Tukuyu, Mbeya.
aii.. Unafananisha Kili na Uluguru? Hauko seriousUluguru Mountains Morogoro. Hakuna eneo zuri Tanzania zaidi ya milima hiyo. Pazuri, rahisi kufika, hakuna baridi Kali, maji ya kutosha, utakacho utapata. Karibuni Milima ya Uluguru, Morogoro.View attachment 1253796
Uluguru Mountains Morogoro. Hakuna eneo zuri Tanzania zaidi ya milima hiyo. Pazuri, rahisi kufika, hakuna baridi Kali, maji ya kutosha, utakacho utapata. Karibuni Milima ya Uluguru, Morogoro.View attachment 1253796
...mwezi wa kwenda kuhiji umekaribiaaaeeee.....maadnalizi memaaa
Ndio Kitulo iko hapo?bila kusahau Mufindi iringa