Sehemu nzuri ya kula na kunywa watu wa Dar

Sehemu nzuri ya kula na kunywa watu wa Dar

Vile vile ukitaka vyooote kwa pamoja basi sogea juliana, mbezi africana ila totoz sio sana kihivyo ukitegemea siyo weekend kitimoto chao sio cha nji hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa najua wanajamii forum wengi wenu mpo dar ...nina wageni wangu kutoka Kenya nataka niwapeleke sehemu dar wafurahi..

kwanza pawe pazuri, penye kupikwa vyakula vizuri vya kiafrika ..chips kuku nyama choma mbuzi choma, makange na zaidi KITI MOTO..pia vinywaji vya kila aina na palipochangamka na ofcourse penye totoz.

Karibuni aisee



Sent using Jamii Forums mobile app
Walete Tabata chap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njooo kwa mchina hapa ubungo darajani
Misosi kama yote
ila totozi ntakupeleka temeke kwa wahaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom