Juliana pako vizuri zaidi afu eneo classic kuliko mibs
Njooo kwa mchina hapa ubungo darajani
Misosi kama yote
ila totozi ntakupeleka temeke kwa wahaya
Juliana pako vizuri zaidi afu eneo classic kuliko mibs
Wapi sasa mkuu sehem penye totoz kwanzaTabata ndo habari ya mjini mkuu, huko kwengine kumebaki zilipendwa tu
Wapi pazuri zaidi penye watoto wazuriKB,40/40 pub,Micassa ,The great park,Toroka uje,Big L,..kitimoto nzuri utaipata hapo Wastaafu bar maeneo ya Segerea ...
Sent using Jamii Forums mobile app
40/40 na The great
Wapeleke break point, hii iliopo kinondoni makaburini hakika mtafurahia chakula, hapo hna kitimoto, ukitaka kitimoto sogea mibs sinza
Sehemu zenye totoz na chakula kizuri palipochangamka sana sogea la chaz lounge, sinza mori hapo nina uhakika kila mmoja wenu ataondoka na toto
Sent using Jamii Forums mobile app
Walete kwangu
Vile vile ukitaka vyooote kwa pamoja basi sogea juliana, mbezi africana ila totoz sio sana kihivyo ukitegemea siyo weekend kitimoto chao sio cha nji hii
Sent using Jamii Forums mobile app
KB,40/40 pub,Micassa ,The great park,Toroka uje,Big L,..kitimoto nzuri utaipata hapo Wastaafu bar maeneo ya Segerea ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Natuliaga hapo sometimes sana,
Kuna totoz moja ya kaunta ni hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njooo kwa mchina hapa ubungo darajani
Misosi kama yote
ila totozi ntakupeleka temeke kwa wahaya
Kitimoto kizuri kipo DOHA
asante
Wapeleke ambiance pale sinza... Malaya wa kutosha, food kibwena, monde ziko pomoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, weekend ndo imeanza hivyo halafu mwisho wa mweziTabata ndo habari ya mjini mkuu, huko kwengine kumebaki zilipendwa tu
Wakuu, weekend ndo imeanza hivyo halafu mwisho wa mwezi
Wakuu, weekend ndo imeanza hivyo halafu mwisho wa mwezi
Njooo kwa mchina hapa ubungo darajani
Misosi kama yote
ila totozi ntakupeleka temeke kwa wahaya
Jomba ulienda wapi, Breakpoint Makaburini?