Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Wakuu, Heshima zenu, nimetua leo Moro, Naomba nielekezeni sehemu bomba ya kutulia na kuenjoy maisha.
Pesa ya mboga.una budget ya sh ngapi? maan tunaweza kwambia mahala huwez kumudu
Morogoro Maeneo Tulivu Mengi Sana
Nakukumbusha Kama Una Jaribu Kupitia Viwanja Vya Adam Malima Pale Alipoibiwa SMG Yake Chumbani
Morogoro Mkoa Matata Sana, Viongozi Wanaujua [emoji3][emoji23][emoji2][emoji1]
Kesho Tukapige Kura Tuwachague Viongozi Wa Ccm
Wale Wengine Hawajui Kusoma Na Kuandika [emoji848][emoji2955][emoji52][emoji58][emoji58]