Whackiest
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 1,211
- 1,521
Leo nilikaa kwa kutulia kuna bidada mmoja namuelewa sana kwenye moja nambili juzi kat alikua nachangamoto ya kifedha ukweli niliumia sana nikashindwa kumsaidia ingawa ni sehemu ya furaha yangu halii hii ilipelekea nikawa mnyonge sana kesho yake amenicheki walau nimpush alipokwama kila nikipiga jicho huku na kule nipate msaada nikakosa basi nikawa kimya sasa leo mida ya mchna nilimchek nikajib kiufpi na kwa namna tunavyoishi tumezoea mazungumzo marefu nayeye ,baadaye nikapitia status zake nikakometi moja basi story zikaanza hapa na pale kanisupprise na view once kichwa kikawaka moto ,alikua nashida Flan nikaforce ,nikaprint karatasi kadhaa nikapata buku 4 ,kaja mwingine kuchapa barua buku 2 sijakaa sawa hela ikapatikana 15000 yake niliyo muahidi .
Mida flani ya jioni nikasema nakuja kukuona kumbuka ule uchokozi alianzisha kichwan naenda kula kipochi manyoya .Kilichonikuta nikaimbiwa hapa hakuna cha nywi wala nywinywi nikaona poa nikatembea na ile hela sikuon thamani ya kutoa kama amenirusha yeye alafu ananifanya hivi . Wakuu nimekosea