NARINAKuna club moja karibu na mataa, wanakesha na kuna watoto wazuri wenye shepu zao.
π π π Kwa kiswahili Club ni nini Mad
Ila kuna ka kilabu kamoja kapo maeneo ya Tanesco sijui ule mtaa unaitwaje kadogo ila kana bamba mbayaa wanyaturu na wanyiramba wahela yote Man
Ni hatari halafu linaambatana na upepo mkali linapiga hadi kwenye moyoNilikaaga Singida miezi 3, nakumbuka nilioga mara nne au tanoπππBaridi kali ilikuwa.Nilikuwa napenda kwenda kwenye mnada wa mbuzi weekend. Aisee unakula nyama hadi unakinai.
Hapana kwakweli, mnaoishi huko mpewe tuzoPAKALI sana sisi tunavunja kuku na kushangaa neema ya vitoto vizuri
Labda kama katoka Ulaya ila kama katoka Tanzania hiihii hakuna sehemu atashindwa kuishi weww uzaliwe sijui na kukulia Dar et ushindwe kukaa ItigiHapana kwake, mnaoishi huko mpewe tuzo
We jamaa, nigee basi hiyo namba ya boda. Tayari nipo Singida (A big village). Kesho panapo majaliwa ntakua tena town mama apate kuku, mtu wa muhimu sana yule.Hadi raha, mimi hadi Dezemba.
Umtume boda kwetu kuku wawili tu π
Asante kwa kukubali ombi langu! π€£
ukikuta sehemu ina paking ya Magari ya mizigo tuu, jua Mizigo ipo.π π π Kwa kiswahili Club ni nini Mad
Ila kuna ka kilabu kamoja kapo maeneo ya Tanesco sijui ule mtaa unaitwaje kadogo ila kana bamba mbayaa wanyaturu na wanyiramba wahela yote Man
Singida na Ulaji wa Bata haviwezi kukaa kwenye sentensi moja.Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja
Natanguliza shukran.
KAnaitwq Narina wamekafanyia maboresho sahv ndio Club yenye totozi kali sanaaπ π π Kwa kiswahili Club ni nini Mad
Ila kuna ka kilabu kamoja kapo maeneo ya Tanesco sijui ule mtaa unaitwaje kadogo ila kana bamba mbayaa wanyaturu na wanyiramba wahela yote Man
Wewe mzee sasa Siuyu anafata matogho au nini Mzee π, nimepita snaa kuelekea MakiunguSiuyu au Unyankhanya
IlishajifiaNyokaaa atakabwa π
I have my childhood friends wananihadithiaga mambo ya nyokaaa looh
Alaaaa! angalia msg za kawaida namba yako inayoishia na 20.We jamaa, nigee basi hiyo namba ya boda. Tayari nipo Singida (A big village). Kesho panapo majaliwa ntakua tena town mama apate kuku, mtu wa muhimu sana yule.
Simba ametoa dozi ya ngapi huko?
Kwanini waliita nyokaaa πIlishajifia
Ilikuwa jambo la muda tu nilipita pale 2023 palikuwa motoKAnaitwq Narina wamekafanyia maboresho sahv ndio Club yenye totozi kali sanaa
Nina miaka mi4 sasa toka nianze kukaa Singida kwa story za mtaan pale kulikuwa na UHUNI wakila ainaKwanini waliita nyokaaa π
Nafika mara ya kwanza nilijiuliza hapa wanapapendea nini yaan kama uchochoroni sasa Jamaa alipafunga kama miezi mi2 hivi pamepigwa super Renovation hataree pamekuwa pazuri saba sema ndio eneo Dogo tuIlikuwa jambo la muda tu nilipita pale 2023 palikuwa moto