Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

Sijawahi kwenda ila story zake zilinichekesha sana.. Mnabanana balaa nasikia.
Nyokaa watu second hand ndio wapo mle πŸ˜…πŸ˜…

Rhode walikuwa wenye nafuu ya maisha, ila sasa unakuta mtu akishindwa gharama za Rhode anakimbilia kule, so unakuta mademu wakali wana hamisha tu upepooo.. unashangaa hii hapa saa moja asubuhi au saa mbali , alafu mda huo unatakiwa Arusha au Mwanza .. aiseee miaka irudi nyuma
 
Rhode ilikuwa kipindi imefunguliwa, hadi 2020 mwisho ila baada ya hapo imekufaaa hamna kitu, last time napita saa kumi alfajiri kama msibani
Mimi nimeenda 2024, nilienda ardhi singida pale,Nikapita kwa rafiki yangu dukani akanipa gauni nikavaa kuingia ofisi za serikali, nilivyotoka nikarudi dukani kwa rafiki yangu kurudisha gauni, ilikuwa jioni akaniambia baki nalo, tukazuga zuga dukani hadi saa mbili tukaenda ubungo kula kuku then tukakusanyana wote wamarafiki tuliocheza rede pamoja, tukazana Rhode it was funny vibe la watu mnaojuana ila kiukweli ni pabaya πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimerudi home karibu na alfajiri na mgauni kama wa kanisani bi mkubwa ananiuliza vipi na huo mgauni, nikakwambia ungejua nilikuwa nakata nao viuno πŸ˜…πŸ˜…
 
Nyokaa watu second hand ndio wapo mle πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah!

Popo mnakesha.
 
Kwa hiyo rhode napo nikubaya .Nitaenda nishuhudie kwa macho yangu.
 
2024 ilikuwa imeisha chokaaaa, 2020 kushuka chini palikuwa kwa singida pa moto, kuna siku nilichukiaa pale nikanunualia nusu ya ukumbia bear hadi walikimbiaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Singida kale ka mji kana raha yake banaaa.. mie kuna vine lina waka nalipia ndani walikuwa na room nzuri sana, kwmeye mlango ambao anasimama baunsa, nalipia lolote likitoka narudi lala.. Vibe na watu wako wa utotoni tamu sana
 
Wanaume mna maisha yenu kwa kweli, mimi nikifanya hivyo ujue kesho ntakuwa teja.

Mara chache sana nimekesha, kesho yake nina uhakika wa kulala siku nzima. Mimi kama nina kazi hata uniwekee million sikeshi kwa kweli.

Huwa naenda field na vijana, tukifika mkoani au wilayani wanaingia kula bata, alfajiri kuoga kuingia job na wapo fresh tu.
 
Umtumie mama, Mwenge tu hapo bonite. Ulidhani unaniletea mimi?

Niko liwale, wiki ya pili sasa.

Kwanini upate utulivu? Tulia uteseke πŸ˜€

Utanipa namba ya boda anaepafaham kwa Mama.

Niteseke sio, ila una hila sana. Ndio maana kuna siku ulinipeleka sehemu mchana lakini kuna giza kama sebule ya jehanam. Nilikaa kama nusu saa ndio macho yakaanza kuona kwa mbali.

Yote kwa yote, siku iliisha vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…