Sehemu gani nzuri ya kuanzia maisha kati ya Dodoma na Babati?

Kupata tenda Babati ni ngumu kwanza ni mji mdogo ambao watu wanafahamiana mtu mpya kujulikana si leo.

Dodoma inakuwa inajengwa hasaa, kupata tenda ni rahisi dodoma kuliko babati

Ila kwa unafuu wa maisha babati kuna unafuu mkubwa kuna fursa ya kilimo na ufuagaji pia, kuna ardhi nzuri yenye rutuba na mvua nyingi za kutosha

Kwa upande wa maisha dodoma vitu ni ghali
Tafakari uishi sehemu zenye fursa tenda chache au sehemu tenda nyingi upambane na maisha hivyo hivyo

Kama wewe ndio mimi ningechagua dodoma - - connections ni nyingi
Asante boss.. Umedadavua Haswa.
 
Dodoma n nzuri ukiwa na connection na uhakika wa maisha utapapenda sana vinginevyo ni pabaya vibaya mnoo
 
Usimsikilize huyo! Wapi Tanzania hii kusikokuwa na madimbwi kipindi cha mvua?

Dodoma ni pazuri kulingana na biashara unayotaka kuifanya.

Kwa mfano kama unafungua hoteli-baa inayoeleweka sio kibaa uchwara uchwara, itakulipa. Dodoma kuna walevi wengi sana! Bia hazilazi, nyama zinaisha, kuku hawatoshi.

Wanawake waliohamia dodoma hawapiki wanakula hoteli-baa, madanga yote yanapatikana hoteli-baaa ... utauza sana hakuna hoteli-baa inayofirisika dodoma wahi kabla hujawahiwa!
Hapo kwenye madanga,nimepapenda.

Anyway, mwambie aje Dodoma.
Wenyeji tupo.
 
Asante sana Mkuu. Kwa fikra za haraka haraka sio rahisi kuamini ilo ila huenda ndio uhalisia!
Hayo matope yenu sasa ni kero kama Karatu by the way nimewahi ishi hapo miezi 2 back then ko nilipapenda kwa ajili ya watoto wakali ila ukuaji wa Mji huo ni wa kinyonga sana
 
Dodoma maisha yako juu sana! Tangu watangaziwe JIJI,mambo yamebadilika mno. Kila kitu bei juu kuanzia nyumba za kupanga, viwanja, nk.

Miuondombinu bado ni ile ile ya enzi za Manispaa! Barabara za mtaani ni mabwawa ya kuvulia samaki na madimbwi tu hasa msimu huu wa mvua! Mimaji ni ya chumvi!! Labda kwa hapo baadae. Ila kwa sasa Dodoma haina kabisa hadhi ya kuitwa JIJI.
Kwani kuwa jiji maji yanatakiwa kuwaje?

Wewe mwambie kama Ana mtaji aende Dom kuna biashara ila kama pesa ni ya kuunga unga nenda Babati

Ila.kwa kazi yako ya Ujenzi sijui usithubutu kwenda kijijini Babati utasahau hata hiyo carrier yako,kama unataka kufanyia kazi taaluma yako ikuzalishie pesa nenda Dodoma
 
Ahaa! Nimeanza kuelewa points zenu. Dom kwa construction industry huenda pako poa sana, ila ndo kwa mambo mengine inaweza kuzidiwa na Babati.
Izidiwe kwa mambo gani? Babati ni kijiji na kumbuka ukipenda maisha ya cheap ujue maeneo husika kuja kushika buku utajuta au ukianzisha biashara hadi iuzike ni mtihani .Mji wowote mkubwa na wenye mzunguko wa pesa uko expensive in terms of life
 
Tuache mzaha Dodoma kama huna chaneli pagumu sana.kule kama sio mtumishi wa umma basi angalau uwe mfanyabiashara ndio utaona nafuu.au uwe na ajira ya namna yoyote ile, mission town utakufa njaa kule,utaishia kupunga upepo Nyerere Squre tu.ukienda uwe na pa kuanzia.
Chai bila sukari hii sasa ,hapo ni sawa sawa na kusema Dom ina watumishi tuu,hizo misheni town ndio nini kiasi kwamba zipatikane kwingine na dom zisiwepo?
 
Wakuu habari, mimi ni mdau wa maswala ya ujenzi (civil engineer) nataka nifanye maisha ambayo kwa kiasi kikubwa yatakuwa yanahusiana na sekta ya ujenzi.

Je, kati ya Dodoma na Babati ni mji gani utakuwa poa zaidi?

Na je gharama za maisha kwa ujumla zikoje maeneo hayo.

Pia kati ya miji hiyo miwili Fursa za Maendeleo zikoje.

Nakaribisha maoni yenu huenda uzi huu ukawasaidia wengi.

Asanteni.
Fungua Hardware Babati japo inabd utilize kichwa Sana maana wenyeji hawapendi wageni. So hata wateja (wenyeji) hununua vitu kwenye maduka ya wenyeji wenzao. pia, Toto's hazijui kukataa
 
Fungua Hardware Babati japo inabd utilize kichwa Sana maana wenyeji hawapendi wageni. So hata wateja (wenyeji) hununua vitu kwenye maduka ya wenyeji wenzao. pia, Toto's hazijui kukataa
Asante sana.
 
Back
Top Bottom