Sehemu gani nzuri ya kuanzia maisha kati ya Dodoma na Babati?

Kutokana na career yako ya ujenzi, nakushauri nenda Dodoma maana mji ndio unaanza kujengeka watu wanajenga kwa kasi hivyo kwa fani yako fursa zitakuwa nje nje. Babati ni pazuri lakini bado ni mji ambao haukui kwa haraka ingawa kama wadau walivyo shauri kuna fursa za kilimo.
Kilimo unaweza piga hata Dom
Ahaa! Nimeanza kuelewa points zenu. Dom kwa construction industry huenda pako poa sana, ila ndo kwa mambo mengine inaweza kuzidiwa na Babati.
 
Usimsikilize huyo! Wapi Tanzania hii kusikokuwa na madimbwi kipindi cha mvua?

Dodoma ni pazuri kulingana na biashara unayotaka kuifanya.

Kwa mfano kama unafungua hoteli-baa inayoeleweka sio kibaa uchwara uchwara, itakulipa. Dodoma kuna walevi wengi sana! Bia hazilazi, nyama zinaisha, kuku hawatoshi.

Wanawake waliohamia dodoma hawapiki wanakula hoteli-baa, madanga yote yanapatikana hoteli-baaa ... utauza sana hakuna hoteli-baa inayofirisika dodoma wahi kabla hujawahiwa!
 
Mimi ni dealer wa construction industry mkuu.
 
Kwa biashara ya bar/ hotel/ cafe. Hata bidhaa za sokoni ni sawa kupo vizuri.na kwa fani ya jamaa kama ana koneksheni kupo vizuri.gharama za maisa Dodoma zipo juu sana.

Kama una unga-unga maisha Dodoma ni magumu kulinganisha na Babati.

Nakushauri kapambane Dodoma.
 
Okay Asante sana mkuu. Chumba single cha bei ya kawaida pembezoni mwa Dodoma itakuwa sh ngapi.
 
Usimsikilize huyo! Wapi Tanzania hii kusikokuwa na madimbwi kipindi cha mvua?

Dodoma ni pazuri kulingana na biashara unayotaka kuifanya.

Kwa mfano kama unafungua hoteli-baa inayoeleweka sio kibaa uchwara uchwara, itakulipa. Dodoma kuna walevi wengi sana! Bia hazilazi, nyama zinaisha, kuku hawatoshi.

Wanawake waliohamia dodoma hawapiki wanakula hoteli-baa, madanga yote yanapatikana hoteli-baaa ... utauza sana hakuna hoteli-baa inayofirisika dodoma wahi kabla hujawahiwa!
Labda restaurant. Kufungua hotel inahitaji mtaji mkubwa kiasi.
 
Dodoma sasa hivi viwanja, na site za biashara zimepanda bei sana, kuna baadhi ya vitu vimekuwa na scarcity baada ya wakazi wapya wa serikali kukaa dom, hivyo ukiweza kuinvest dom sio mbaya ila jitahidi uwe na bidii kushinda ushindani.

Huko Babati amna ishu mkuu maana bado sana kule ni kilimo cha kawaida tu, hata kilimo bado pesa yake haina mzunguko mzuri, maisha pale ni ya duni sana, kwa iyo kazi ya civil engineering mpaka upate kazi au wateja jiandae kusubiri subiri.
 
Dodoma sasa hivi viwanja, na site za biashara zimepanda bei sana, kuna baadhi ya vitu vimekuwa na scarcity baada ya wakazi wapya wa serikali kukaa dom, hivyo ukiweza kuinvest dom sio mbaya ila jitahidi uwe na bidii kushinda ushindani. Huko babati amna ishu mkuu maana bado sana kule ni kilimo cha kawaida tu, hata kilimo bado pesa yake haina mzunguko mzuri, maisha pale ni ya duni sana, kwa iyo kazi ya civil engineering mpaka upate kazi au wateja jiandae kusubiri subiri.
Nimependa udadavuzi wako mkuu.. uko na mashiko sana.
 
Nimependa udadavuzi wako mkuu. Uko na mashiko sana.
Pamoja mkuu jaribu kufikiri na mimi huko kote nimekaa na mwezi uliopita nilikuwa Dodoma mwezi 12 nimejionea na mwaka 2015 mpaka 2018 november nilikuwa Dodoma pia.
 
Back
Top Bottom