Ipi wilaya nzuri kwa kuishi kwa maisha ya mwalimu kati ya hizi

CAMANGA

Member
May 14, 2023
53
259
Kwa maisha ya mwalimu ni ipi halmashauri nzuri kwa kufanyia kazi na anaweza kujishughulisha na shughuli za kiuchumi hasa kilimo na ufugaji

Kati ya

MBALALI- MBEYA
RUNGWE- MBEYA
KYELA -MBEYA

TUNDUMA -SONGWE

Naombeni msaada wenu wakuu wa kuzichambua hizi wilaya kwa wenyeji

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona Kyela is the best nimeishi huko napajua mnoo ingawa hata hizo wilaya zingine nimeishi pia

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kikazi nipo Pwani.. huku maisha sio poa, Mzunguko wa biashara ni mdogo, Biashara zamsimu, Yan.. natamani nirud Mbeya kikazi coz nilio waacha wamepiga hatua flani..
 
Back
Top Bottom