Seduce me.....!!!!

Seduce me.....!!!!

Ohoooo!!!

-Ndumilakuwili-
hahahaahh, mwanamke wa kipare sina tatizo la apetaiti kabisa yaani, hata siku ukinipa mwaliko usitegemee kuwa nitadokoa dokoa niache mezani! lazima nipige deki sahani sibakizi hata ka sampo ka kupeleka kwa mkemia mkuu endapo nitakuwa, wakisema wapime mabaki ya chakula alichokuwa marehemu hawataaambulia kitu, hahahahahahah
 
asubuhi yangu huwa nainzaga hivi/.. Inna analijua hilo
cc Maserati
2013-12-13-15-50-39.jpg

Hata gari za safari ndefu lazima uanze na full tank ili uwe na uhakika wa safari.[emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom