Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,619
Si watu wa dar
Si watu wa dar
Picha uliyo weka na ujumbe vinakwaruzana
Ofcourse ndio dhima ya mwandishi mkuuPicha uliyo weka na ujumbe vinakwaruzana
Nyie acheni ujinga wanawake hawalagi sana waone kwanzaHata mie dada siwezi shiba hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie acheni ujinga wanawake hawalagi sana waone kwanza
hahahaahh, mwanamke wa kipare sina tatizo la apetaiti kabisa yaani, hata siku ukinipa mwaliko usitegemee kuwa nitadokoa dokoa niache mezani! lazima nipige deki sahani sibakizi hata ka sampo ka kupeleka kwa mkemia mkuu endapo nitakuwa, wakisema wapime mabaki ya chakula alichokuwa marehemu hawataaambulia kitu, hahahahahahahOhoooo!!!
-Ndumilakuwili-
mwanaume wa dar
Ikiwa nakula nilichogharamia kwa hela yangu nakula sana aisee. Sijuagi kujivunga mkuuNyie acheni ujinga wanawake hawalagi sana waone kwanza
Sawa mkuu mwili haujengwi na mawe we kula tu mwayaIkiwa nakula nilichogharamia kwa hela yangu nakula sana aisee. Sijuagi kujivunga mkuu
Endelea ku-guess
Usivunge kwenye maswala ya menu mkuu, kula hadi ujinyeeIkiwa nakula nilichogharamia kwa hela yangu nakula sana aisee. Sijuagi kujivunga mkuu
Wanaume wa dar hao! Halafu utegemee kuwa mwanaume mashine?, kweeeli kwa kula hivyoo? Huku kwetu unakula breakfast ya viazi/magimbi/mihogo kwa chai au uji wa dona
Kama mlo wako ndio huu basi nimeshajua unatoka mkoa gani..