Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Hv kma mtu alikuwa na C3,katka masom yake yaan Bios - C, chemistry - C, b/maths - C. Haraf Physcs - D. Na haja chaguliwa second wala first SELECTION pia kutuma maombi afya nako haja chaguliwa jeeee? LABDA KUNA SELECTION ZNGNE ZNAKUJA AU NDO MAISHA YAKE FINISH... HELP ME PLEASE....

jaribu kuangalia kwenye web ya UDOM anaweza akawa amechaguliwa special diploma
 
bona wa bona au mwanaJF yeyote naomba unifahamishe kuhusu kimamba secondary na ntapataje join instruction
 
JAMAN NISAIDIE, NINA PASS YA 1.3, Chemistry _C, b/math_C, bios_C, Physcs _D . Lakin sijachaguliwa first wala second selection hat UDOM sijachaguliwa pia nimetuma maombi afya nako cjachaguliwa... Wana jf nisaidie Je Labda kuna selection zngne znakuja au watakuwa wamenichagua wapiiii...????? NISAIDIEN jamani
 
usilaze damu hauna namna nyingine apply ualimu
 
mimi bado na utata kwa hili hii shule ya temeke ni ya day au bording na kama ya day asilimia kubwa ya waliochaguliwa ni kutoka mikoani na kama kuna hostel je ni za shule i mean ulipii au unalipa kwa mwezi msaada wakuu
 
Ili mjadala unoge hebu nisaidie hapa mshikaji wangu,S3007/0008
 
mimi bado na utata kwa hili hii shule ya temeke ni ya day au bording na kama ya day asilimia kubwa ya waliochaguliwa ni kutoka mikoani na kama kuna hostel je ni za shule i mean ulipii au unalipa kwa mwezi msaada wakuu

ELLY hata me mwenyewe nimechaguliwa temeke halafu design fulan kama sielewi hivi tupeane saport
 
wakuu! mimi nimechaguliwa kimamba sec (PCB) kama mtu anaifaham anpe namba zake kwani nina shda na join instruction
 
Back
Top Bottom