mnazingua jibuni bass hii temeke highschool ni ya day auvboding
wakuu! mimi nimechaguliwa kwa comb PCB kimamba secndary! lakini napata shaka na hii shule kwani inaonekana ilikuwa aina advance level! wana jf msaada wenu kama mtu anaitambua hii shule
Naomba uniangalizie s3679/0010
naomba ushauri kwa mtu ambaye anataka kujiunga na advance kuna madhara yoyote ambayo yatamwadhiri anaywenda kuingia mwez huu naomba ushauri wenu munisaiidie ili nikapate ufunguo wa maisha kwa mwezi huu wa 09
ha
mm niko kijijin sana nackia kuna nafac za walimu zimetoka kwenda dodoma jna la shule winam career sec.school no. 097 kama huyu amechaguliwa kwnda chuo cha ualim naomba munisaidie kwa hilo centre ya shule ni s. 3377/0097
Shule hiyo ya kimamba naipata vizuri ni mpya imeanzishwa mwaka huu kwa upande wa advance na ina comb za sayansi tupu....(PCB,PCM na CBG) hipo kilosa kimamba..