Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

jamani! wakuu kwa yeyote anayeifahamu shule ya kimamba mimi nimechaguliwa pale PCB anpe namc zake! wana jf wenzng msaada plz!!!
 
Yani tumeshapeleka vijana private na ada tumeshalipa mamilioni eti ndio wanatoa posti,
 
tunawaomba wenye uwezo wa kuangalia haya majina watoe msaada wao humu maana vijana wanahitaji msaada
 
Kiongozi nimeangalia website ya pmoralg.go.tz usiku huu second selection tayari.
 
Back
Top Bottom