swytie love
Member
- Jan 30, 2014
- 75
- 5
Lakin mbna CAS haifunguk samhn lkn n kwang tu au wote
Wadau Heshima kwenu wote. TCU wameachia second round application rasmi leo kwa Tangazo hili hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/2nd round application 2015.pdf pakua hilo tangazo uweze kuona maekezo zaidi.
kama umekosa round ya kwanza ujue umekosa kutokana na ushindani hivo unatakiwa kujipanga upya kwa kuomba upya.
Pia unaweza kudownload list ya majina ya waliokosa hapa.
1. Group (A-H) - http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group (A_H).pdf
2. Group (I- L) - http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group (I_L).pdf
3. Group (N- M)- http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group (M_N).pdf
5. Group (O- Z)- http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Gruop (O_Z).pdf
Kwa wale wahanga wa kozi za afya vyuo vilivobakia ni
1. KIU - Medicine, Laboratory na Pharmacy
2. St. Joseph College of Health Science - Doctor of Medicine
3. KCMC- Bachelor of Science in Nursing
4. IMTU - Bachelor of Medicine adn Surgery.
Angalizo. hizi nafasi ni FIRST COME FIRST SAVED. KAMA TANGAZO LA TCU LILIVOOONESHA.
NAWATAKIENI USOMAJI MWEMA :bange:
kwel mtu ana div one kakosa nsahdien ushaur nfanyaje
jaman wadau KIU,IMTU na St Joseph vinafa!? naogopa kuingia kwenye matatizo msaada tafadhali
St. Joseph ni chuo kipya na Campus mpya kabisa. usipotoshe watu wewe kama hutaki kukiomba kaa kimya waache wenye uchungu na shule wakasome acha kukariri wewe
Kwani ww unatumiaa Sim gani inayo ingia jf alafu ishindwe kuonesha majina?
So sad.. rafiki zangu walioahirisha baada ya kutemwa mwaka jana wametemwa tena
kwel mtu ana div one kakosa nsahdien ushaur nfanyaje
Naomba kuuliza. Haya majina yanahusisha na walioapply kupitia NACTE?
St. Joseph sio Chuo hicho Siwashauri
wakuu tuwe waelewa kidogo ivi st joseph zote zina matatizo?uyo jamaa anamaanisha st joseph college of health science,tukiwa tunachangia tuchangie kwa oja wakuu,naona uzi mwingi wakiongelea st joseph wanatolea mfano ya arusha,tuambieni je st joseph zote ni matatizo pia toa oja.
Acha kupoteza watu kwa ujinga wako wakuto kufatilia mambo,nani asiyejua st.joseph campus ya arusha kuna migogoro ya accreditation yake?..i hate much knows.
Wadau vp kwa tuliotumia equivalent ya diploma? Coz najarb kufungua cas il ni-log in haifngk! !! Msaada plz
Lakin mbna CAS haifunguk samhn lkn n kwang tu au wote