silent_soldier
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 193
- 62
Lakin mbna CAS haifunguk samhn lkn n kwang tu au wote
Relax mama. Nilitumie 3 hours kureapply, and 3 days kusubr my. Hii CAS was shut down ijumaa and imerushwa jana jioni,
Lakin mbna CAS haifunguk samhn lkn n kwang tu au wote
jaman wadau KIU,IMTU na St Joseph vinafa!? naogopa kuingia kwenye matatizo msaada tafadhali
Tunajua matatizo ya Arusha but hili tawi lao kila Mtu amelikubali. Liko Boko na ni Jipya
Whats your point hapo?upya wa chuo?
Hapana, mimi nashangaa kuwa mnatusakama tunaoenda ST. JOE Je kwenye vyuo vya afya vilivyobaki, sisi wenye ndoto ya MD tuchague kipi?
Sasa ndugu yangu kama college ina mapungufu tusiseme,Eti kwa sababu unakipenda?after all sijazungumzia st.joseph yote,nimesemea campus ya arusha na mpaka dakika hii kina mgogoro na wanafunzi wake.
Mimi nakifahamu sana chuo cha st.joseph i think kuliko wewe..campus ya Luguruni kipo vizuri sanaaa na songea japo kuna mapungufu ya kihuduma..na mtu anapo comment humu anajaribu kuwasaidia wengine kuelewa ili msiingie mkenge..
Hiyo ya Arusha inafahamika mzeee. Binafsi mimi nilikuwa KIU, nikaacha nikareapply nikakosa. Kwenye 2nd selection katika list ile ningechagua wapi?
Sasa hapo kazi ni kwako kuangalia yafuatayo kwenye kozi hii:
1.Inatolewa kwenye college gani?
2.Ada yake ni 5,700,000/ bodi watakulipia labda 2,000,000 kwa mwaka familia yako inauwezo wa kulipa 3,000,000/ kwa mwaka?
3.umefanya uchunguzi wa elimu inayotolewa chuoni hapo?
Ukishapata majibu hayo nakushauri kasome..goodluck
Bodi ya mikopo mwaka jana Medicine tulipewa Tution Fee 3.1M huku pesa ya msosi ikiwa 7500pday. Mwaka huu HESLB pesa ya msosi imepanda mpka 8500 kwa wote, hatujajua kuhusu Ada. Penye nia pana Njia Broo...
Nimeangali mahali hii kozi kumbe haitolewi campus ya arusha sio?
Jee Campus Ya Dar Iko vipi Wadau Kwa Civil EngnrngSasa ndugu yangu kama college ina mapungufu tusiseme,Eti kwa sababu unakipenda?after all sijazungumzia st.joseph yote,nimesemea campus ya arusha na mpaka dakika hii kina mgogoro na wanafunzi wake.
Mimi nakifahamu sana chuo cha st.joseph i think kuliko wewe..campus ya Luguruni kipo vizuri sanaaa na songea japo kuna mapungufu ya kihuduma..na mtu anapo comment humu anajaribu kuwasaidia wengine kuelewa ili msiingie mkenge..
Jee Campus Ya Dar Iko vipi Wadau Kwa Civil Engnrng
Vinafaa mkuu labda hyo Kampala ndo sikushaur
Badili browser. Jaribu opera