mbusage
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 447
- 123
jaman wana jamii forum naomba mwenye pc anichekie " rabson peter huruma"
Kwani ww unatumiaa Sim gani inayo ingia jf alafu ishindwe kuonesha majina?
jaman wana jamii forum naomba mwenye pc anichekie " rabson peter huruma"
cjaona jina lako lakin prove zaidi au ingia kwenye profile lako
Sisi wa nacte tunatumia utaratib gani kuangalia majina yetu??
St. Joseph sio Chuo hicho Siwashauri
Wadau vp kwa tuliotumia equivalent ya diploma? Coz najarb kufungua cas il ni-log in haifngk! !! Msaada plz
Wadau Heshima kwenu wote. TCU wameachia second round application rasmi leo kwa Tangazo hili hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/2nd round application 2015.pdf pakua hilo tangazo uweze kuona maekezo zaidi.
kama umekosa round ya kwanza ujue umekosa kutokana na ushindani hivo unatakiwa kujipanga upya kwa kuomba upya.
Pia unaweza kudownload list ya majina ya waliokosa hapa.
1. Group (A-H) - http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group (A_H).pdf
2. Group (I- L) - http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group (I_L).pdf
3. Group (N- M)- http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group (M_N).pdf
5. Group (O- Z)- http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Gruop (O_Z).pdf
Kwa wale wahanga wa kozi za afya vyuo vilivobakia ni
1. KIU - Medicine, Laboratory na Pharmacy
2. St. Joseph College of Health Science - Doctor of Medicine
3. KCMC- Bachelor of Science in Nursing
4. IMTU - Bachelor of Medicine adn Surgery.
Angalizo. hizi nafasi ni FIRST COME FIRST SAVED. KAMA TANGAZO LA TCU LILIVOOONESHA.
NAWATAKIENI USOMAJI MWEMA :bange:
Wadau vp kwa tuliotumia equivalent ya diploma? Coz najarb kufungua cas il ni-log in haifngk! !! Msaada plz
wakuu tuwe waelewa kidogo ivi st joseph zote zina matatizo?uyo jamaa anamaanisha st joseph college of health science,tukiwa tunachangia tuchangie kwa oja wakuu,naona uzi mwingi wakiongelea st joseph wanatolea mfano ya arusha,tuambieni je st joseph zote ni matatizo pia toa oja.
nadhani nacte bado hawajatoa majina ya waliochaguliwa maana nimeona ata hii second application imeandikwa kwa ajili ya form 6 tu tena uku TCU. Nina imani nacte bado sina uwakika lakini
wakuu nichekieni anthony daniel