Second interview NSSF

Second interview NSSF

Hatuajiri Leo,,hill tangazo nimeliona leo
 
Watu kimya,jamani mwenye updates kutoka NSSF,ama watu wameshapewa vitengo maana hii inchi.
 
Watu tumesafiri kwa ajili ya hiyo intavyuu kutokea Kigoma hadi Das'laam,tupeni majibu basi tujue kama mpo pamoja nasi au ndo mshatumwaga,wiki ya tatu hii bilabila,Dau eeeeeeeeh,tunakusubiria Bosi wetu mtarajiwa,mwaga mavitu hayooo
 
Ngoja nmcal yule dada alosema wana watu wao tayar km washanza training ya kazi au laa.
 
Nimeshakata tamaa,narudi kwetu katavi mpaka sasa jamaa wapo kimyaaaaa
 
Habari wakuu,nimesikia nyepesi kua jana saa 4 nssf wamepiga simu na intavyuu ni leo saa 4 asubuhi.je ni kweli?
 
Itakuwa kweli namimi nimesikia kuna mtu mwanae kaenda leo.
 
Back
Top Bottom