Second interview NSSF

Second interview NSSF

Just summary, ukiandika madude yote hayo zile answer sheet zitakutosha kwel? from NSSF HQ
 
Huyo Jamaa anapost vitu ambavyo havijui? IFM tulikua zaidi ya 3000! Mm mwenyewe ID yangu Iliku zaidi ya 2800! Na pia wengine wamefanyia upande wa ukumbi wa mkapa
 
Jaman kwamlifanya written interview tar 10 jan 2015 leten mrejesho interview ilikuaje? hzo 2 qns zilikuwa zinaenda?
 
Huyo Jamaa anapost vitu ambavyo havijui? IFM tulikua zaidi ya 3000! Mm mwenyewe ID yangu Iliku zaidi ya 2800! Na pia wengine wamefanyia upande wa ukumbi wa mkapa

DUCE namba zilianzia 3300 hadi 5800. take the difference 5800-3300=2500 . ina maana DUCE tulikuwa 2500 na kule IFM walikuwa 3300 jumla inakuja 5800
 
DUCE namba zilianzia 3300 hadi 5800. take the difference 5800-3300=2500 . ina maana DUCE tulikuwa 2500 na kule IFM walikuwa 3300 jumla inakuja 5800

IFM zilianzia .1000 mpaka 3250 kama sikosei.
 
Zinaenda kama civics,GS au DS kama umesoma vzr kwani ilikuwa general knowledge about social security funds in Tanzania
 
Acha uongo ww hapa DUCE ni 2500 na pale IFM ni 1500 Jumla ni 4000 cz wamechuja watu buku kwa sabab ya kwanza pale IFM Tulikuwa 5000 upo na bado interview moja jiandae kupigiwa simu hyo ukipigiwa ndo shav moja kwa moja iwe oral au written.....Kutoka HQ

Mungu atusaidie jamani. 2015 uwe mwaka wa baraka kwa sisi vijana watafuta ajira rasmi..
 
pale kwenye kuielezea mifuko mingine palisumbua...maana unakuta umejiandaa na nssf...
 
Wadau msiumize vichwa kama IPO IPO tu hata kama Paper ilikuona.
 
Swali
1.Taja maadui wetu wa tano
2.Tufanyeje ili tuwashinde hawa maadui

******over******

But sio maadui tu hata nssf alikuwa wa muhimu sna utakuwa wa ajabu ukiwataja wengine umwache anayekufanyia usail
 
Back
Top Bottom