mgweno tajiri
Senior Member
- Mar 8, 2014
- 167
- 29
Maswal yalikuwa simpo kinoma yani acha
Call for oral interview tayari itakuwa tarehe 17 jan.... ila wameitwa wengiiii wa bukoba, mwanza na kahama..... dar mmoja tuu. Walioitwa wako kama 30 hivi.... pitia website ya NSSF.

Si vyema kupotosha wenzio. Huo ni ukatili wa kisaikolojia.
Haujui challengz za kibongo bongo
Interview ya tatu ni muda wowote kutoka sasa
Nayo itakuwa ni written tena.?!
inavyosadikika mkuu
Duh written tatu..?!