Habari tulizozipata hivi punde zinasema boti ya Sea Star imekwama kwa zaidi ya masaa manne hivi sasa baada ya engine kuzimika huku ikipigwa na mawimbi makali. Source: Michuzi blog
Yale madudu ya mwembechai yapo kazini,mungu weee tunusuru

Yale madudu ya mwembechai yapo kazini,mungu weee tunusuru

<br / mv bukoba, treni,shauritanga, dar express,msae nk, hz ni baadhi tu za kafara za chinga.mkuu wa kaya anaweka mambo sawa na kamati ya ufundi, maana wakati wa chinga kulikuwa na MV BUKOBA hii wiki
kama sio huu mwezi wote ni ajari tu kweli mbele
Mungu atupushe na mabaya katika taifa letu na watu wake.Serikali haina wakuiwajibisha katika mamlaka zake zote uozo tupu.Ajali kila kukicha na hakuna precaution zozote.Tumililie Mungu aturehemu na kutuhurumia waja wake
hawa jamaa wanatunanga kwa kudanganywa na waganga
<br / mv bukoba, treni,shauritanga, dar express,msae nk, hz ni baadhi tu za kafara za chinga.

<br / mv bukoba, treni,shauritanga, dar express,msae nk, hz ni baadhi tu za kafara za chinga.

mkuu wa kaya anaweka mambo sawa na kamati ya ufundi, maana wakati wa chinga kulikuwa na MV BUKOBA hii wiki

kama sio huu mwezi wote ni ajari tu kweli mbele

una maana gani?