Sea star yakwama nungwi!!!

kipira

Senior Member
Aug 5, 2009
142
56
Habari tulizozipata hivi punde zinasema boti ya Sea Star imekwama kwa zaidi ya masaa manne hivi sasa baada ya engine kuzimika huku ikipigwa na mawimbi makali. Source: Michuzi blog

Mungu atupushe na mabaya katika taifa letu na watu wake.Serikali haina wakuiwajibisha katika mamlaka zake zote uozo tupu.Ajali kila kukicha na hakuna precaution zozote.Tumililie Mungu aturehemu na kutuhurumia waja wake

Habari tulizozipata hivi punde zinasema boti ya Sea Star imekwama kwa zaidi ya masaa manne hivi sasa baada ya engine kuzimika huku ikipigwa na mawimbi makali. Source: Michuzi blog

Jesus Christ! Mkuu! Ilikuwa na abiria?

Hii sasa ni hatari inabidi wataalamu wawe front na si wanasiasa wenye kutaka sifa na kura wakati wa uchaguzi

mkuu wa kaya anaweka mambo sawa na kamati ya ufundi, maana wakati wa chinga kulikuwa na MV BUKOBA hii wiki
kama sio huu mwezi wote ni ajari tu kweli mbele

<br / mv bukoba, treni,shauritanga, dar express,msae nk, hz ni baadhi tu za kafara za chinga.

Mungu atupushe na mabaya katika taifa letu na watu wake.Serikali haina wakuiwajibisha katika mamlaka zake zote uozo tupu.Ajali kila kukicha na hakuna precaution zozote.Tumililie Mungu aturehemu na kutuhurumia waja wake

Sidhani kama kuna sababu yoyote ya kumsingizia Shetani hivyo kumwomba Mungu atuepushe na mabaya/mabalaa. Ajali hizi zote ziko (usahihi zaidi ZILIPASWA KUWA) ndani ya uwezo wa serikali. Tatizo hapa ni yule anayestahili kusimamia sheria kutofanya hivyo badala yake tumekuwa mabingwa wa kuunda tume na kutoa matamko uchwara wakati watu walishapoteza maisha na mali.

Kama sheria zilizopo hazikidhi haja basi zirekebishwe au zitungwe nyingine na hii ndio kazi ya msingi ya Bunge badala yake wamebakia kuzomea na kutetea upuuzi kama posho! Hivi kwa taifa la aina hii unategeme nini? Wakati Japan wanajiandaa kutengeza kituo cha kuishi binadamu mwezini na sayari nyingine, kwetu habari kuu ni kukwama kwa pantoni huko Nungwi! Ujinga, uzembe, na kutowajibika kwetu tunamsingizia Shetani; na matetemeko kama ya Japan, Indonesia, Iran, China, na kwingineko wamsingizie nani?

mkuu wa kaya anaweka mambo sawa na kamati ya ufundi, maana wakati wa chinga kulikuwa na MV BUKOBA hii wiki

kama sio huu mwezi wote ni ajari tu kweli mbele

NADHAN KWA SASA NI KWA AJILI YA IGUNGA!!! BUT WHAT GOES AROUND COMES AROUND

mnijibu cuf. chaguzi zilizopita mliilalamikia ccm kana kwamba iliwapora ushindi wenu, na mkasoma duwa za kuilaani ccm kwa utawala mbovu, ubabe, uuaji na dhulma, ni lini mlimuomba mungu kubatilisha maombi ya awali kabla hamjajiunga na ccm (dhulumati, wauaji, wababe waongo......) mkitembea na mwizi hamuwi wezi wote? matukio ya baharini yananisikitisha!

Dah naikumbuka ile movie ya 2012 disaster...
Bora yakwame yasiue nafikiri serikali itapata akili yakununua boti zenye kufaa kwa matumizi ya binadamu

Back
Top Bottom