Sea star yakwama nungwi!!!

kipira

Senior Member
Joined
Aug 5, 2009
Messages
135
Points
225

kipira

Senior Member
Joined Aug 5, 2009
135 225
Habari tulizozipata hivi punde zinasema boti ya Sea Star imekwama kwa zaidi ya masaa manne hivi sasa baada ya engine kuzimika huku ikipigwa na mawimbi makali. Source: Michuzi blog
 

bemg

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
2,711
Points
1,195

bemg

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
2,711 1,195
Mungu atupushe na mabaya katika taifa letu na watu wake.Serikali haina wakuiwajibisha katika mamlaka zake zote uozo tupu.Ajali kila kukicha na hakuna precaution zozote.Tumililie Mungu aturehemu na kutuhurumia waja wake
 

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,977
Points
2,000

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,977 2,000
Mungu atupushe na mabaya katika taifa letu na watu wake.Serikali haina wakuiwajibisha katika mamlaka zake zote uozo tupu.Ajali kila kukicha na hakuna precaution zozote.Tumililie Mungu aturehemu na kutuhurumia waja wake
Sidhani kama kuna sababu yoyote ya kumsingizia Shetani hivyo kumwomba Mungu atuepushe na mabaya/mabalaa. Ajali hizi zote ziko (usahihi zaidi ZILIPASWA KUWA) ndani ya uwezo wa serikali. Tatizo hapa ni yule anayestahili kusimamia sheria kutofanya hivyo badala yake tumekuwa mabingwa wa kuunda tume na kutoa matamko uchwara wakati watu walishapoteza maisha na mali.

Kama sheria zilizopo hazikidhi haja basi zirekebishwe au zitungwe nyingine na hii ndio kazi ya msingi ya Bunge badala yake wamebakia kuzomea na kutetea upuuzi kama posho! Hivi kwa taifa la aina hii unategeme nini? Wakati Japan wanajiandaa kutengeza kituo cha kuishi binadamu mwezini na sayari nyingine, kwetu habari kuu ni kukwama kwa pantoni huko Nungwi! Ujinga, uzembe, na kutowajibika kwetu tunamsingizia Shetani; na matetemeko kama ya Japan, Indonesia, Iran, China, na kwingineko wamsingizie nani?
 

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
23,960
Points
2,000

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
23,960 2,000
mnijibu cuf. chaguzi zilizopita mliilalamikia ccm kana kwamba iliwapora ushindi wenu, na mkasoma duwa za kuilaani ccm kwa utawala mbovu, ubabe, uuaji na dhulma, ni lini mlimuomba mungu kubatilisha maombi ya awali kabla hamjajiunga na ccm (dhulumati, wauaji, wababe waongo......) mkitembea na mwizi hamuwi wezi wote? matukio ya baharini yananisikitisha!
 

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,474
Points
1,250

Manyanza

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,474 1,250
Dah naikumbuka ile movie ya 2012 disaster...
Bora yakwame yasiue nafikiri serikali itapata akili yakununua boti zenye kufaa kwa matumizi ya binadamu
 

Forum statistics

Threads 1,378,681
Members 525,139
Posts 33,720,602
Top