Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,065
Naamini wengi wameshawahi kukutana na hili tatizo kwenye simu ya screen touch ,unatuma msg kwa mtu mwingine lakini deliver y report inaonyesha uliyemtumia siye still msg inakuwa imeenda kwa mlengwa
Mwenye ufahamu wa hili tafadhali na jinsi ya kusolve
Mwenye ufahamu wa hili tafadhali na jinsi ya kusolve